13. ๐๐ข๐๐ข๐ ๐
Hii ilitokana na kitendo la Tembo kuzama || kudidimia kwenye Matope hivyo Wenyeji walipokuwa wakipita sehemu walikuwa wanasema ๐๐ป๐ฒ๐บ๐ฏ๐ผ ๐๐ฑ๐ถ๐ฑ๐ถ๐บ๐ถ๐น๐ฎ (tembo amezama) hatimaye ikawa Dodoma/Dodomia unayoiona Leo.
Wagogo najua sijakosea Hapo?
14. ๐ง๐๐๐ข๐ฅ๐
Mwanzo ilikuwa ni Kambi Kuu ya Wafanyabiasha. Pia Wafanyabishara hao Walikuwa wakipita na bidhaa zao wanakuta ๐ฉ๐ถ๐ฎ๐๐ถ ๐ฉ๐ถ๐๐ฎ๐บ๐ vilivyopikwa na kukatwakatwa vipande na kuanikwa.
Hapo huliwa makavu (Chewing gum) au kupikwa na kuliwa. Haya huitwa ๐ ๐ฎ๐๐ผ๐ฏ๐ผ๐น๐๐ฎ ๐ฎ๐ ๐ ๐ฎ๐๐ผ๐๐ผ๐น๐ฎ. Hivyo wakapaita kambi ya Matobolwa au Matovolwa. Baadae ilikuja Kugeuka na kuwa ๐ง๐ฎ๐ฏ๐ผ๐ฟ๐ฎ unayoiona Leo.
15. ๐ฆ๐จ๐ ๐๐๐ช๐๐ก๐๐.
Wenyeji wa maeneo hayo walikerwa na Vitendo vya Ushirikina, Tofauti na Mtazamo wa Watu Wengi kwamba wenyeji wanaendekeza ushirikina.
Kutokana na Kero hiyo Waliamua Kuwapiga Mkwara Watu wanaoingia katika Mji huo kwamba kama unataka kuja huku, basi Tupa Uchawi.
Mf; ๐ฆ๐๐บ๐ฏ๐ฎ ๐ช๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ [๐ง๐๐ฝ๐ฎ ๐จ๐ฐ๐ต๐ฎ๐๐ถ], ndio uweze Kuruhusiwa kuingia Sumbawanga.