Is a sustainable youth development Initiative based on hygienic behavior change which focuses on preventing controlling the spread of pandemic diseases in TZ
"Utunzaji na matumizi Sahihi ya vyoo kwa jamii yanahitajika sana, ili kuhakikisha tunapunguza magonjwa na vifo kwa wapendwa wetu". Kipe Hadhi choo chako, kupitia Kampeni ya Choo Safi, Hadhi Yangu na Choo safi, Soka Safi.
KCP tupo site.
#mkonowanguafyayangu#mkonowanguulinziwang
Tunapoendelea kusherehekea siku ya wanawake duniani, ONG kwa kushirikiana na Let's Empower COP, chini ya uwezeshaji wa @WiLDAFTz na @voicetweetz, inakukaribisha kushiriki kwenye mdahalo siku ya ijumaa tarehe 22.03.204 saa 12:00 jioni. Usikose link https://t.co/J6B11k8RSy
sambamba na ziara ya vyombo vya habari, 8/12/2023 kuanzia saa 10:00 jioni.tulifanikiwa kufanya mdahalo kwa njia ya mtandao (twitter sapce) kujadili mchango wa Shughuli za wanaharakati katika kuzui ukatili wa kijinsia.
#zuiaukatiliwakijinsia
Katika kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, tulifanya ziara katika vituo vya radio Arusha,kama mchango wa Mashirika na serikali kupinga ukatili wa kijinsia, kama kauli mbiu isemavyo "wekeza;kuzuia ukatili wa kijinsia.
#16DaysOfActivismAgainstGBV
Every year, millions of tons of plastic end up in our oceans, endangering marine life and ecosystems.
It's time for global action to combat plastic pollution. 🌏💙 #IfEveryoneDid their part, we could collectively #BreakFreeFromPlastic and safeguard our oceans! #IVD2023#COP28
Program Manager mr. Shaban James , akitoa maelezo ya shughuli za kijamii zinazofanywa na taasisi mbalimbali kwa mgeni rasmi mh. @gwajimad katika uzinduzi wa siku 16 za wanaharakati wa ukatili wa kinjisia, alipotembelea kwenye banda letu.
#16daysofactivism
KIC-FOUNDATION katika Uzinduzi wa siku 16 za wanaharakati dhidi ya ukatili wa Kijinsia ,yenye kauli mbiu 'Wekeza;kuzui ukatili wakijinsia katika ukumbi wa JNICC , Dar es Salaam.
Mgeni rasmi katika uzinduzi huu ni mheshimiwa @gwajimad
#ZuiaUkatiliWaKijinsia#16daysofactivism
"Serikali inatambua mchango wa Azaki upande wa Zanzibar, na ripoti ya mwaka jana inaonyesha mchango wa bilioni 46."
Ahmed Abdulla, Msajili wa NGO's, Zanzibar
#CSOWeek2023#TechXSociety"
"Nilifanya ziara uwanja wa ndege wa Zanzibar nilikwenda pale, wakati tunaingia sisi serikali ya awamu ya 8 uwanja wa ndege walikuwa hawawezi kujilipa mshahara kila mwezi tunatoa fedha serikalini ndio tunawapa ndio wanalipa mishahara, Mhe.Rais amefanya kazi kubwa na ametupa
"Nilipopata ajali na kutakiwa kukatwa mguu nilipoteza tumaini kwa kuwa kazi yangu ilikua marketing.
Lakini kupitia teknologia ya Mitandao ya kijamii nikagundua naweza kuendelea kufanya kazi zangu vizuri nikiwa popote na smartphone".
Genarius Ernest - YoDo
#CSOWeek2023
#TechXSociety
"As a father of two young teenage girls, I am encouraged by the increase in girls' education initiatives that focus on creating a friendly environment for them to excel in STEM subjects and technology."
Kenneth Nchimbi, TEN/MET
@malalafund#CSOWeek2023#TechXSociety
Session | The State of Civil Society in Tanzania: Now and Beyond This session brings on board key & relevant stakeholders from the CSO sector & the Government discuss on the context of the sector in relation to legal, policy & practices opportunities etc
#CSOWeek2023
"Changamoto za haki za binadamu katika biashara mtandaoni. •Kutokuwepo kwa mwongozo wa kushughulikia masuala ya haki za binadamu katika biashara •Ufuatiliaji umekuwa ukilenga zaidi biashara kubwa •Kutokuwepo kwa ujumuishaji wa kutosha •Makundi maalum hayapewi kipaumbele…
"Tume ya haki za binadamu na utawala bora ni idara huru ya serikali iliyoanzishwa mwaka 2001 kwa lengo la kulinda, kutetea, na kuhifadhi haki za binadamu". Philemon T. Mponezya, Afisa Uchunguzi mkuu, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora #CSOWeek2023#TechXSociety
have prepared a practical session that will show how CSOs can leverage systems such as ChatGPT to prepare and right proposals, perform related…hat are the practical ways in which technologies such as Artificial Intelligence can make our work easier and better?.@Twaweza_NiSisi
As we approach the end of the #CSOWeek2023, get ready for an action-packed day featuring insightful discussions on safeguarding cyber resilience, ChatGPT, envisioning Tanzania's future, and understanding the dynamics of civil society. Don't miss out on these impactful sessions!
In this session, participants will discover innovative strategies for leveraging technology to optimize statutory compliance and foster technology integration within civil society organizations.
#CSOWeek2023#TechXSociety#ComplianceTZ