@wuodnyanza@UKenyatta Hakuna haja. Mtaboycot kutumia hiyo maji au mchimbe mitaro ya kudrain maji ama mjaze hiyo na mawe in protest. Wacha wengine wapate kwanze.
@Erikipngetich@UKenyatta Eric stop being petty. A bigger dam is continuing in Kuresoi. Is Kuresoi in Central? Ama unataka moja kwa shamba yako? Hiyo haiwezekani.
@OuchTweetz @zoomyzag@UKenyatta Kama wengine wanaharibu hata mifereji ambayo inawapea maji ya matumizi, Si afadhali kupeleka hiyo maji kwa wale wanajua maana ya maendeleo?