WAZI WAZI
@HEBabuOwino goes step by step exposing Ben Sirkal video of being caught sleeping with another manโs wife. ๐๐พ๐๐พ
Ksh 80 3k Per month Sharon Otieno Justice Okoth Obado #Babukwasababu#BabuOwino#BilaBabunitaabu
James Orengo
These are goons waiting outside St. Stephen Church , Kisumu where you are
Nyuma ya VIC park
Organize with your security and be safe
Meanwhile, Olivetti, and Ochibo.
Please sit down and end the bloodshed
Jokisumo weuru negoru ne Jolangโo
Please! Joluo. ๐ฅบ
Ndugu zangu waislamu juu mmekataa kunialika Eid na mimi wacheni niseme ukweli. Na ukweli wa mambo ni kwamba you have not been fasting. Mmekua mkikula chakula mingi sana asubuhi,mchele mandazi,pilau,supu ya kuku,dengu,cabbage alafu mnawekelea ugali. Alafu mkienda kazini mnaweka mat chini mnalala. Kazi ni kutema tu mate mkingoja jioni. Kuna wakati mwingine ata jioni inafika na wengine wenu hamuskii njaa,manake mlijisondeka msuri sana asubuhi. Jioni ikifika mnasema mkifungua,mnafungua tumbo pia,mnaswaga tena. Nina ndugu yangu apa Ahmed ameongeza kilo nyingi sana msimu huu wa fasting. In the name of Allah,tuwe watu wa kusema ukweli tafadhali. Tabia yenu tumeijua aisee