๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Who is the best ever English CM?
๐ฌ Frank Lampard
๐ Paul Scholes
โค๏ธ Steven Gerrard
๐ Help settle the debate...
Anayekupenda baada ya kufa ni mchawi,wachawi hupenda maiti,anayekusifia baada ya kifo ni shetani, shetani husifia kifo maana anajua kama hukutubu huna nafasi ya kumrudia Mungu wako,tuache uchawi na ushetani tupendane na kusifiana tukiwa hai.hapo ndipo raha ya upendo na sifa ilipo
Ndugu katika maisha usijifanye sana mtafutaji wa hela uku unawaumiza sana wengine haya maisha tunaishi ni ya mpito tu maana ni ngumu kuijua kesho yako.
#The_ChandO.