Kama kutoa AMRI ndio mafanikio basi atoe AMRI umeme urejeshwa Nchi nzima.
Kazi ya WAZIRI ni kutatua matatizo kwa kutumia AKILI na si kutoa AMRI tu.
Serikali si GWARIDE ni complex organisation.
Ccm will never change!!
kwasababu kwao madaraka ni kufa na kupona sio kushawishi wala kujenga hoja, kwa wala sio kukubalika..
Ndio maana mtu kama Tulia na Nape wanaweza kutoka hadharani akasema watatawala milele…
Au kwamba wana akili sana ndio maana wako madarakani.
Huu muswada ni mzuri sana...kwa sababu utawaunganisha zaidi Watanzania na utongeza ufanisi kwa Viongozi wetu wapendwa....
Watakapopewa utulivu na wenza wao ndo wao watakuwa na nguvu ya kuwatumikia Watanzania.
Itolewe elimu ya miaka mitatu kwa wananchi juu ya huu MUSWADA
Hii ni shule ya msingi ,Hawa ni wanafunzi wakiwa darasani , Mwenyekiti wa CCM kawatembelea akiwa na Mkurugenzi wa Halimashauri ! Fuatilia , machozi lazima yakutoke! Badala ya kuangalia haya tunawaongezea wabunge posho na mafao ya wenza wa Viongozi!
Ni kweli uhuru wa kusema una mipaka ndiyo maana hate speech, racism, holocaust denial n.k. vinapigwa marufuku.
Suala ni kwamba nani anapanga mipaka hii na kwa madhumuni gani. Isitumike kama silaha ya kuwanyamazisha watu wanaohoji au kutoa mtazamo mbadala.
Samia Suluhu Hassan is banning any music that criticizes her government. She has arrested several critics and detained them without trial. She speaks slowly but bites hard, like a viber. Today, Tundu Lisu, opposition leader arrested! Kwa jirani kwanuka!
Kimsingi kumkamata @TunduALissu hakutasaidia kupunguza joto la kashfa ya kuingia MKATABA mbovu wa BANDARI na WAARABU wa DUBAI inayomkabili Rais @SuluhuSamia na waziri wake Prof. MBARAWA... Zaidi kutaongeza HASIRA kwa WANANCHI wa TANGANYIKA.
#OkoaBandariZetu#255KatibaMpya