πππ ππππππ ππ πππππππ & ππππππππ
SUBSCRIBE CHANNEL YETU YA YOUTUBE π kwa habari
Jarida la Forbes limetoa orodha ya wachezaji wa mpira wa miguu wanaolipwa pesa nyingi zaidi duniani kwa mwaka 2024.
Kwenye orodha hiyo ya wachezaji 10 bora, Cristiano Ronaldo, mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia, anaongoza kwa kuingiza
Tangu mwezi Juni, mamlaka zimewakamata kiholela mamia ya wafuasi wa upinzani, kufungia vyombo huru vya habari na kuhusishwa na kutekwa na mauaji ya wapinzani wasiopungua wanane" - ripoti ya Human Rights Watch.
Kamala Harris ameahidi kuhalalisha bangi ndani ya taifa la Marekani, endapo atachaguliwa kuwa rais, kama sehemu ya mpango wake mkubwa wa "Opportunity Agenda." Akiwa mstari wa mbele katika kuondoa sheria zilizopo zinazozuia matumizi ya bangi, Harris amesisitiza dhamira yake
Nyota wa timu ya Taifa ya Brazil anae kipiga katika klabu ya Real Madrid nchini Hispania Vinicius Jr ameonekana kuzama kwenye mahusiano ya Siri na mrembo mwanamuziki kutoka Nchini Jamaica aitwae shenseea .
#bashashatvupdates
Cristiano Ronaldo ndiye binadamu anaevuta mkwanja mrefu kupitia mtandao wa Instagram kwani utalipia kiasi Cha Dola za kimarekani $3,234,000 per post ambayo ni sawa na Bilioni 8.851 za kitanzania.
Je, wewe umeingiza kiasi gani Cha Pesa kupitia ukurasa wako wa Instagram π?
SIMBA katoka kutwanga mechi ngumu sana ya Kimataifa huko Tripoli, Libya! Akasafiri kupitia Uturuki kurejea nchini, takribani maili 5,000 kisha akatwanga mechi nyingine ngumu ya marudiano dhidi ya Al Ahli hapo kwa Mkapa, kisha leo kaenda kuupiga mpira mwingi sana Zanzibar.
π¨ :Cristiano Ronaldo aweka rekodi ya kufikisha magoli 900 kwanzia aanze kucheza soka la kulipwa.
Ronaldo amefunga Goli lake la Mia Tisa (900) kwenye mchezo wa timu yake ya Taifa
π¨ :Cristiano Ronaldo aweka rekodi ya kufikisha magoli 900 kwanzia aanze kucheza soka la kulipwa.
Ronaldo amefunga Goli lake la Mia Tisa (900) kwenye mchezo wa timu yake ya Taifa.
OFFICIAL: Mashindano ya CECAFA Senior Challenge Cup ya timu za Taifa yaliyopangwa kufanyika Juni 29 hadi Julai 14 Zanzibar yamefutwa.
β‘οΈ Mwaka huu kutakuwa na mashindano ya CECAFA KAGAME CUP 2024 ya vilabu ambayo yatafanyika Julai 6-22 jijini Dar Es Salaam na Zanzibar
Updates π
Mzamiru yassin selemba ameongeza mkataba wa miaka miwili Hadi 2026 kuendelea kusalia msimbazi.
Hii ni kutokana na kuhofia kupoteza wachezaji wakongwe kwenye kikosi kama ambavyo Simba iliachana na Jonas mkude.
Updates π
Mzamiru yassin selemba ameongeza mkataba wa miaka miwili Hadi 2026 kuendelea kusalia msimbazi.
Hii ni kutokana na kuhofia kupoteza wachezaji wakongwe kwenye kikosi kama ambavyo Simba iliachana na Jonas mkude na erasto nyoni na wakaenda kung'ara kwenye timu walizo enda
EXCLUSIVE ‡οΈ
β‘οΈ Simba πΉπΏ imefanya mazungumzo na Prince Dube πΏπΌ ili kumsajili, tayari wamempa ofa na kumshawishi ajiunge nao
β Hakuna shida kuhusu wao kumalizana na Azam Fc πΉπΏ na ofa ilishatumwa
β‘οΈ Shida kubwa ipo upande Dube ambaye hajaonyesha utayari wa kujiunga nao.
Watu wanashindwa kutofautisha comedy na UCHIZI. Watu wengi wa Arusha hawafanyi comedy ila wanafanya UCHIZI hawana content ya maana ya kuchekesha watu zaidi ya kuongea ujinga lakini comedian sikuzote haishiwi content kama akina TX DULLAH . Ivi ako kajamaa kfupi kanakuchekeshaga π