Mgawanyo wa maumivu ya game ya arsenal ya jana, Baba maumivu atakuwa man united, mfawidhi atakuwa man city halafu mwenyekiti wake chelsea...
Naomba nikumbushe tu kama arsenal akibeba huu ubigwa, kama wewe ni man united na naengage na wewe umeisha,,
Naomba kuwasilisha...good morning🖐