Access roads mean access to opportunity. A mother rushing to a clinic, a farmer delivering produce, a student walking to class all depend on connectivity. Kiambu is stitching communities together. #WamatangiAkoGround#MakingKiambuGreatAgain
Farmer wa Kiambu aliniambia kitu ambacho sikutegemea. Alisema kazi ya barabara imemfanya aongeze acre mbili za kulima kwa sababu anajua mazao yake yatafika soko salama. Barabara moja imebadilisha business plan yake yote. #WamatangiAkoGround#VoteMuchinaOlkalou
Nimesikia watu wakijaribu kupinga delivery ya Kiambu kwa hoja na statistics. Lakini mama wa Limuru anayeweza kuzaa katika Bibirioni akiwa karibu na nyumba yake, hana haja ya hoja. Anajua anachohisi. #WamatangiAkoGround
Singapore ina hospitali za kisasa. Kiambu nayo ina Bibirioni na hospitali 31 nyingine. Watu wa Kiambu hawahitaji kuruka maji makubwa kupata matibabu mazuri. #WamatangiAkoGround
Mtu anayejenga oncology center katika county ameonyesha kwamba anafikiri miaka 20 mbele. Cancer sio ugonjwa wa tomorrow, inahitaji infrastructure ya leo. Kiambu imeandaliwa. #WamatangiAkoGround
Ukweli mzuri zaidi kuhusu hospitali za Kiambu ni huu. Hazijengwa kwa matajiri. Zimejengwa kwa mwananchi wa kawaida ambaye alikuwa hawezi kumudu hospitali ya private. Hiyo ndiyo ground ya kweli. #WamatangiAkoGround
Ndururumo hospital Juja ina pediatric ward, lab, theatre, maternity. Sehemu ambayo watu walisafiri umbali mrefu kupata huduma, sasa ina kila kitu. Mtu anayefanya hivyo ako ground bila shaka. #WamatangiAkoGround
According to PS of Interior, this is a Kenyan walking to board an Uber to go lock himself in his house and sleep.
There are reports that somehow his body transported itself from the house where he was sleeping and booked itself at City Mortuary as a victim of hit run accident.
The liberation of Kenya demands that we all discuss ideas that put Kenya first. Great catching up with my brother @rigathi in his Wamunyoro residence. We must ensure Kenya becomes a sovereign state and economically liberated. It is good for kinsmen to gather. There is hope for Kenya.
@abuga_makori This is the best verdict because imagine how angry and motivated he's going to be, you simply cannot put down that man. Plus it's a plus for the United opposition having one less presidential candidate