Mwanamke Anayekuheshimu Ni Bora Zaidi Kuliko Mwanamke Anayekupenda, Kwasababu Heshima Ni Vitendo zaidi Kuliko Upendo.
Ndio Maana Kuna Uwezekano Mkubwa Mwanamke Akamsikiliza Bosi Wake Kuliko Mwanaume Wake, Hapo Mmoja Anaheshimiwa na Mwingine Anapendwa...