Ikiwa wao wanatumia nguvu, Majeshi, Ma-DC,Ma-RC, kutukandamiza sisi tunatumia Akili kuelekea Ikulu, ya taifa na kuliongoza https://t.co/oOykIwnQh8 kitaifa..tunawaacha watanzania waamue ktk hapa kazi tu, taabu na ufukura (ccm)au upinzani Chadema maisha ya haki & neema.ktk nchi.
Nina Muunga mkono Mgombea Ubunge wa Korogwe mjini Kama kijana mwenye maono na sifa za kua Mbunge, kwa kutambua Changamoto za kupambana na chama dola ccm nahamasisha michango tumchangie kijana mwenzetu, mdogo wetu,Kaka yetu na Rafiki yetu kwaajili ya kumpa nguvu ktk kampeni zake.
Wembe nimkali Sana lkn hawezi kukata mti,shoka nikali na linanguvu lkn haliwezi kukata nywele.Kimbunga Cha 2020,panapomajaliwa 28/10 Kuna baadhi ya vibaka tutawapeleka ICC.
Kwa aina ya maneno na hoja anazotumia mgombea wenu, ninaona kabisa kuna siku nguo atazivua tupate huruma🤣🤣🤣🤣🤣
Wetu ni kazi alizofanya na mafanikio aliyopata kwa miaka mitano
ya kuongoza Serikali.
Viva JPM
Viva CCM
Genge la kihalifu nimepewa taarifa limevamia Msafara wa rais @TunduALissu na kurusha mawe vijana wetu wamewapa vipigo hao wahalifu nimefurahi sana.nimefarijika sana.yoyote anayevunja sheria za nchi nae avunjwe tu.
Mlipokua mnatuambia kwa kutamba kuwa Tanzania ya viwanda mlijua miaka 5 haitafika? Mbumbu nyie wananchi wanamipa mkong'oto kwenye Sanduku la kura tarehe 28/10 keshokutwa.
Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha ghafla cha Rais wa Chama cha Wanamuziki wa Injili Tanzania, Dkt. Donald Kisanga aliyefariki dunia kwa ajali ya gari Jijini Dodoma. Mungu amweke mahali pema peponi, Amina.
1.Tumeona wasiojulikana wakikuuzia Mahindi,
2.sisi wakulima,na watumishi wa umma, na raia Masikini tunakusubiri kwenye Box la kura 28 Oktoba,
3.nakushauri Bora ukimbie nchi mapema tu!
Nawatakia heri WAKULIMA, WAFUGAJI na WAVUVI katika sikukuu hii ya Nanenane. Serikali inatambua mchango wenu mkubwa katika ujenzi wa Taifa na ustawi wa Watanzania. Tunaahidi kuendelea kuwaunga mkono na kushughulikia changamoto zenu ili kuongeza tija katika kazi zenu. NANENANE JUU!
Utekaji wa raia na kupanda kwa gharama za maisha, ndio uwe wino wa kuondoa hawa fisi wenye vinywa vikali vya kutafuna minofu/rasilimali za taifa bila kujali raia.
Njia ile ile aliyotumia Mwl Nyerere ndio tunatumia @ChademaTz Miaka ikiwa wao watumia nguvu,ma-,dc ma-rc, kutukandamiza sisi tunatumia Akili kuondoa Madarakani. ila safari hii mkiiba kura tutamigonga.
@TunduALissu naunga mkono hoja kuwa tukiibiwa kura sio kumuachia Mungu,na wale jamaa waliokaa Kama ng'ombe wakiagizwa tu wanafanya wajiandae kiisakolojia.maana nna hamu nakuwagonga kweli.