Dear LADIES
Kama kuna sanaa unatakiwa uijue vizuri ni ya MAPISHI, "an entrance towards a man's heart is through his stomach" Jifunze kupika food as an art.
Ipo siku itakubidi uonesha ufundi wa MAPISHI yote mawili. Huko nje wapishi wa kitandani ni wengi kuliko wajikoni.#Lowlife๐
Sometimes mapenzi ya Mungu yanaumiza sana, Ushawahi kumkasirikia Mungu kwa nyakati ngumu unazozipitia but ukikumbuka pia Kuna nyakati nzuri ambazo umeshawahi kuzipitia unajikuta hauna budi kukubaliana na mapenzi ya Mungu.#Lowlife๐
Achana na zile mambo za Ooohh Kila mtoto huja na Riziki yake zitakuponza, ukileta Mtoto in this World without a proper Financial Plan utaparara hadi ushangae kama sio mvumilivu unaweza kula Kona.#Lowlife๐
Sometimes I Just Find A Quiet Hidden Place And Drop Five Or Six Tears๐งTo Clean My Heart, Ghafla Nakumbuka Kuwa Hata Kidogo Nilichonacho Kuna Ambao Hawana So Nainuka Na Tumaini Kuwa Inspite Of Bad Days Good Days Will Still Come Inshaallah, Anyway Thanks God #HappyBirthday ๐To Me
Enzi zile ukifanya kosa halafu ukapelekwa kushitakiwa ofisini kwa walimu ilikuwa ni bora tu upelekwe Polisi, zile hazikuwa fimbo bali ni uvamizi wa kutumia silaha aina ya Mshekehanda๐ก#Lowlife๐
@Njamasi__ Kaka wao wanaotaka 3plus wakati mambo ni mengi tunapiga Moja tukifungua turbo kabisa ni mbili hatutegei ila now days hatukamii na wao wanaotaka mpaniaji bila kusema
Before kuita wanaume wote ni MADOG ๐ kwa kushindwa kucontrol tamaa zako, jitahidi Kabla ya kua mama unakua mke kwanza so you need to be a good wife before being a good mother...๐ Otherwise Kila Mwanaume kwako atakuwa ni DOG ๐ tu #Lowlife๐
Baby Daddy will always have Sยฃx with his baby mama whether you like it or not, Mwenye Kisima hapangagi foleni, And your jealousy won't change it.๐ Hakuna mechi inayoanzaga na matokeo.#Lowlife๐