Je Ni Lazima urafiki uwe wa Kufaana ,kufaidishana? ?ama hata bila Kufaana urafiki unaweza Kuwa?
Mada ya siku -Kauli yako Ni Ipi?
0700 17 66 99
0732 745 111
@RadioTaifaFM@Mtotomzuri001@mwajumachozi#TafrijaChaguoLako
'Hii Ni Kubwa,Na si chocha'
Ahsante za Dhati kwa Uwepo wako kwenye
#Tafrija
Team Dadaz
@mwajumachozi na @Mtotomzuri001@RadioTaifaFM
Twakupenda,
Twauthamini..
Alamsiki
Kheri ya Mwezi May,Uwe wa Baraka Kwako na wanaokuzunguka!
Kulingana na hesabu zangu nikiwa mtoto, ilikuwa nafaa nikimaliza university na miaka 21, nipate Kazi nikiwa 22years, Kisha nijenge nyumba by 24, 25 niwe naendesha sports car yangu, na mwaka huu niwe nimeshaolewa. Lakini life! Wewe hesabu yako ilikuwaje?
#mkash#carolinemkamburi