Swali:
Je, vijana wa Kitanzania wanatumia nafasi zao vya kutosha kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa, au mfumo na viongozi wamewakatisha tamaa?
π #VijanaNaUchaguzi
π #SautiYaKijana
π #MitaaNiYetu
Jadili!
Ni haki au ni jukumu la vijana kuleta mabadiliko?
Mfumo wa uchaguzi unawavutia vijana kushiriki?
Nini kifanyike ili kuongeza ushiriki wa vijana kwenye kampeni na upigaji kura?
π³οΈ Toa maoni yako hapa na kwenye jukwaa lolote unalopenda!
MSLAC kutoa msaada wa kisheria katika mfumo wa elimu na uhamasishaji kuhusu haki za walemavu na jinsi ya kutafuta msaada ikiwa wanapitia unyanyasaji. Hii kujumuisha kampeni za elimu ya umma, mafunzo na programu za kuelimisha jamii kuhusu haki na mahitaji ya walemavu. #MSLAC
Kampeni ya Msaada wa Kisheria inatokana na adhma ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kuhakikisha kwamba kila mwananchi anafahamu masuala ya kisheria ikiwemo haki na wajibu wake. #MSLAC
Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Jumuiya ya Madola una umuhimu mkubwa kwa wananchi wa kawaida wa nchi wanachama, unachangia katika kuboresha mifumo ya sheria na haki, kupunguza ubaguzi, kukuza usawa na kujenga uwezo wa kitaalam kati ya wataalamu wa sheria. #Katibayawatu#MSLAC
ππππππππ ππππππSafari za ndege za moja kwa moja zitaongeza kasi ya ukuaji wa biashara na uwekezaji na kuvutia watalii zaidi.
hii inatupa fursa ya kuimarisha uhusiano wetu wa kiuchumi na Poland ambayo ni nchi yenye uchumi wa 21 kwa ukubwa duniani. #Matokeochanya