@YoungAfricansSc | @manutd | POLITICAL ANIMAL | DON'T TRUST MY SMILE | A WOUNDED BUFFALO | AM NOT LUCKY, AM BLESSED | I LOVE MYSELF | SELECTIVE SOCIAL #WANAZIHQ
Nimetembea sehemu tofauti leo hii tangu asubuhi, zaidi ya watu wawili wameomba niwape pesa ya kula. Cha kushangaza, mfukoni nilikuwa na buku tu, na wote nimewakatalia. Je, hii ni dalili ya nini wadau?😬