You can live out of a place of rest, knowing that the wrongs—the things you don’t understand that are not fair—they’re not stopping you; they’re leading you into the perfect plan God has laid out for you.
We don’t understand it, it doesn’t make sense to us. God uses the wrongs to move us into our purpose. What looks like a setback is a divine detour, the hand of God, taking us through wrongs, and leading us to rights.Tune into Joel’s new message today! "Divine Detours" https://t.co/kNnMjb1SU6
Ni maombi yangu, katika mwenzi huu, Mungu akuwezeshe kukamilisha mipango na maono yako uliyokuwa nayo kwa mwaka huu wa 2024. Na akujalie kuingia mwaka 2025 salama katika Jina la Yesu.
Ninakukaribisha kushiriki pamoja nasi Mafungo ya siku 40, Kuanzia Jumatatu ya tarehe 4 November mpaka 13 December. Na Mungu wetu wa mbinguni atakuhudumia kwa upendo wake kwa ajili ya utukufu wake.
Mungu akubariki sana.
That storm is not going to last. That trouble is not permanent. The same God that stopped the rain for Noah is going to stop the rain in your life. Click here to watch: "Day Forty-One Is Coming" https://t.co/fzO8ZeVnAZ
JE, NIUPI UMUHIMU WA ELIMU YA URAIA? Sanuka na hii kijana makini…
Elimu ya Uraia ni nyenzo ya kuimarisha uwajibikaji wa wananchi na viongozi katika kusimamia haki na usawa katika jamii.
#ElimikaWikiendi#HojaZetu#VijanaMakini#KijananaUchaguzi
Ikiwa wewe ni mtanzania mwenye akili timamu na umri kuanzia miaka 18 au kuitimiza ifikapo oktoba 2024, basi unapaswa kujiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura.
#JiandikisheINEC#KijanaJiandikishe
We may have given up, but the good news is God hasn’t given up. He doesn’t cancel dreams. He’s called the Author and the Finisher of our faith. Tune into Joel’s message today, "It's Still Going to Happen"! https://t.co/fzO8ZeVnAZ
God said in Philippians, “I will bring you to a flourishing finish.” Not a defeated finish, a lonely finish, a betrayed finish, a depressed finish. God has a victorious finish for you.
Habari #KijanaMakini
Katika kusheherekea miaka 24 ya kuanzishwa kwa TYVA, tulipata ugeni kutoka kwa John Mnyika ambae alikuwa sehemu ya waasisi wa TYVA.
Pamoja na mengine aliendelea kututia moyo na kusisitiza kuliendeleza vizuri shirika hili kwa vizazi na vizazi.
#TYVADay2024
Kijana makini, muda wa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura ni sasa, haina haja ya kusubiri.
Kuwa mjanja, jiandikishe leo, jiandikishe sasa, usisubiri mpaka dakika za mwisho.
#KijanaJiandikishe#JiandikisheINEC
Kijana makini, muda wa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura ni sasa, haina haja ya kusubiri.
Kuwa mjanja, jiandikishe leo, jiandikishe sasa, usisubiri mpaka dakika za mwisho.
#KijanaJiandikishe#JiandikisheINEC
Kujiandikisha katika Daftari la kudumu la Mpiga kura hakuna gharama yoyote zaidi ya Muda wako ili uende Kituo kilichokaribu yako.
Je, Umefanikiwa kwenda kujiandikisha?
#KijanaJiandikishe | #JiandikisheINEC
Mambo vipi #KijanaMakini
Kijana Makini anahakikisha hapitwi na Zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura likifika mkoani kwako, lakini kubwa zaidi kuwakumbusha na wengine kwenda kujiandikisha.
#KijanaJiandikishe | #JiandikisheINEC
Kijana Makini tunakumbushana kuwa kujiandikisha ni muhimu kwasababu
- Kuhakikisha usawa katika uchaguzi
- Kuwa sehemu ya Mabadiliko
- Kura yako inachangia kuunda serikali.
Tujiandikishe kwa mustakabali wa kesho yetu.
#KijanaJiandikishe | #JiandikisheINEC