Muungwana amempa Mange maua yake, hata mimi naungana nae. Kama unaunga na wewe like, comment na kuretweet kwa wingi waone machawa wa CCM. Mwenyekiti wa CCM amemfunga wala sio Mahakama, maana haina sauti ya kutoa maamuzi kinyume na boss ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ