TANGAZO, TANGAZO.
Kuna Kitu tumekaa na Kushauriana na Nimeona niwashirikishe na Nyie Gen-Z, Kwamba Tuamue kwa Pamoja Kuacha Kusapot hawa Wasanii wa KIBONGO
Kama Msanii Akitangaza Show yake Basi Tuhakikishe Tunafanya Kampeni ya Watu Kuto KUSHIRIKI SHOW YAKE
#Retweet Ujumbe huu
Pesa za kufanya kampeni dhidi ya nani?
Hii ni sawa na mume kuanzisha kampeni ya kuchangisha pesa kwa ajili ya send-off ya mke wake, ambaye tayari amemuoa na wanaishi naye kwa zaidi ya miaka 20. Ni mzaha wa hali ya juu na kejeli kwa akili za umma. Bahati mbaya, hamjui kuwa mzaha huu sio tu unavuruga akili za wananchi, bali pia umeharibu uwezo wenu wa kufikiri na kutambua ukweli. Hivyo Taifa linazidi kupotea. Mtakapokuja kujua, itakuwa mmechelewa sana. Na uovu utakuwa umeshamiri sana na hakuna hatakaye kuwa salama.
Maigizo yenu yako wazi sana. Vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi huu ni miradi yenu kuanzia mkakati hadi rasilimali. Mnatengeneza maigizo ili kufunika dhambi . Lakini hamtaweza, kwa maana “Mshahara wa dhambi ni mauti” na Mungu hadhihakiwi. Ninaona adhabu kubwa sana juu yenu kutoka Mbinguni. Mmechezea na kuumiza Nchi sana. Malengo yenu yamekuwa power na pesa na sio utu na heshima.
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa John Mwambigija Mzee wa Upako amesema wamepanga kufanya vizuri katika uchaguzi ujao kwani wapinzani wao ambao ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameishiwa ajenda na ni wepesi kama tishu kwenye chaguzi.
Mwambigija amesema kuwa baada ya chama chao kufanya uchaguzi wa viongozi wao ngazi ya Taifa, na kumchagua Tundu Lisu kuwa Mwenyekiti wao, wanarejea upya na nguvu mpya hivyo wanaamini wana uwezo wa kuongoza nchi.
🚨CASE CLOSED 🔨🚨
‼️ USIPITE BILA KUSIKILIZA👇🏾‼️
NB: Kumbuka LIKE yako haionekani najua hata wanaCCM mna mengi moyoni - we gonga tu like - I know you want to 😅
Mwaka 2019 Lusinde mbunge wa Mtera alieleza kwa details namna Nape alihesabu kura na kutaka kuwaibia kura akina mama kwenye uchaguzi wa Bunge la Afrika Mashariki 🤣 Alikingiwa kifua na Katibu Mkuu wakati huo Kinana! Hata sasa atakingiwa na huyohuyo!
Hitimisho:
Hata CCM wenzake wanamlalamikia Nape kuwa anachakachua kura hadi ndani ya chama 🤣🤣
Tabia ni kama ngozi huwezi kuficha su kubadili!
Ni utani tu lakini 🤣
Na #TutaelewanaTu
Hapa anasindikizwa kiongozi mmoja kwenye nchi ambayo kwenye kila watu watatu unaokutana nao, mmoja wao hana uwezo wa kujigharamia chakula shilingi elfu 49 kwa mwezi mzima.
Laiti kama tungeacha kupumbazwa na tulipo na kuwaza zaidi ambapo tungekuwepo endapo huu upumbavu ungekomeshwa, pengine watu wetu wasingekuwa wananuka umaskini kiasi hiki.
Rais @SuluhuSamia , hawa ni viongozi au watawala?🤔