Muda hauwezi kusubiri, lakini ubunifu unaweza kubadilisha jinsi tunavyoutumia.
Kila uvumbuzi mkubwa huanza na wazo dogo, lakini thamani yake huonekana pale unapoweza kuokoa muda, kuongeza ufanisi na kutatua tatizo ambalo limekuwepo kwa muda mrefu.
Usilaani majira unayopitia; tafuta ujumbe wa Mungu ndani yake. Huenda kile unachokiita kipindi kigumu ndicho Mungu anachokitumia kukujenga kwa ajili ya hatua inayofuata.
Na wakati mwingine, kama ilivyokuwa kwa Ayubu, tunapopitia mambo tusiyoyaelewa, Mungu hutufikisha mahali ambapo tunamfahamu kwa undani zaidi.
“Nilikuwa nimesikia habari zako kwa kusikia kwa masikio; bali sasa jicho langu linakuona.”
— Ayubu 42:5
Kwa hiyo, jifunze kuelewa nyakati kuliko kulaumu majira. Usiharakishe kuuliza, “Kwa nini Mungu ameruhusu hili litokee?” Bali jiulize, “Mungu anataka nijifunze nini kupitia kipindi hiki?”
“Kwa kila jambo kuna majira yake, na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.”— Mhubiri 3:1
Kuna nyakati Mungu anakupitisha katika jambo fulani si kwa sababu amekuacha, bali kwa sababu anataka umjue zaidi. Wakati mwingine changamoto, majaribu na vipindi vigumu huwa sehemu ya mchakato wa kutujenga, kutufundisha kumtegemea Mungu na kutambua kusudi lake katika maisha yetu.
Philippians 2:3
[3]Let nothing be done through strife or vainglory; but in lowliness of mind let each esteem other better than themselves.
Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake.
Deuteronomy 6:5
[5]And thou shalt love the LORD thy God with all thine heart, and with all thy soul, and with all thy might.
Nawe mpende BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote.
13.Never marry wrong, above all,make sure your partner is kind and considerate.
14.Never be reckless with money.
15.Never over speed to meet up,better miss it than to be missed forever.
Thanks for reading.
15 COMMON MISTAKES YOU SHOULD AVOID.
1.Never have unprotected sex with someone you are not sure of.
2.Never trust a stranger completely.
3.Never eat what your gut rejects.
4.Never sign a document if you haven't read and understood it properly.
9.Never manage a faulty vehicle for a journey .
10.Never betray a good person's trust.
11.Never force relationship with someone who is not interested.
12.Never accuse someone openly without a concrete evidence.