Leo #MariaSpaces tunajadili: Kuelekea #MO29 - tunaelewa siri ni namba?
Usikose masaa haya ya mwisho - kumbuka kuwasha VPN na kujipanga vilivyo leo tujadili kwa nini wazalendo ndani ya mfumo wamesema tutoke wote
Nini maana ya siri ni namba?
Saa 2 uck!
@MarekaMalili Kinachonichanganya zaidi ni mwaka huu Bunge limetunga kanuni ya kuzuia matumizi ya fedha za kigeni kwenye transactions zozote zile isipokua zile zilizoainishwa kwenye jedwali la kanuni hizo. Sikujua kuna watu wapo excluded na hii kanuni.
"Tulipita nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi kwenye rasimu niliyoiongoza mimi mwenyewe rasimu ya Warioba, wananchi wakatoa maoni yao ila serikali ikawapuuza, wananchi walilalamikia sana Tume ya uchaguzi kwamba haitendi haki wakatoa mapendekezo yao mkawaona wajinga, mkiwaona barabarani wanadai haki yao kwa nguvu msiwalaumu jilaumuni wenyewe" Jaji Warioba
JWTZ watu wenu wamekamatwa na Mafwele kwa kuchana bango mko kimya tu?
Nyumba anakaa mwanajeshi na wananchi wanajua hapo kuna mwanajeshi wanamuingiza kwenye siasa anakataa na kukamatwa mnakaa kimya na huyu Mafwele anakwenda kuua mwanajeshi mmenyamaza tu
Kama mwanajeshi amekosa sheria si mna taratibu mmeambiwa kwamba kuna mwanajeshi amekamatwa kwa huu uhuni mkakubali?
“Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
Huyu Mama angekuwa Mbunge Wangu kura yangu angekula kiboss tu bila hata nguvu nyingi.
Kuna viongozi wanazurura page za Udaku tu wakikutana na Kesi zetu hata tukiwa Tag wanazipita post kama Ads za Alibaba ila huyu Mama anajitahidi sana japo hawezi wafikia wote.
Mungu amuweke
USIKURUPUKE : Hakikisha unafanya vipimo hivi na mwenza wako kabla ya ndoa.
1. Rhesus status.
2. Fertility Profile.
3. Genotype.
4. Hepatitis B and C.
5. STIs (VDRL &HIV).
6. Testesterone homoni level.
7. Beta HCG.
8. Seminal Analysis.
9. HVS culture & Sensitivity.
10. Urethra culture & Sensitivity.
11. Any Chronic medical conditions.
12. Full Blood Picture.
Ni muhimu kupima afya zetu kwa undani zaidi, ili mnapoingia katika ndoa muwe na uhakika wa kuepukana na changamoto za kiafya kwenu na hata vizazi vyenu.
Mbali na kupima VVU ni muhimu kufahamu makundi yenu ya damu, kupima homa ya ini aina ya B na C na vinasaba,
Kujua hali ya afya mapema kunaweza kuwaondoa wanandoa au wenza kwenye changamoto mbali mbali za kiafya.
Hatua hiyo inawahakikishia wenza kuwa na muunganiko ulio salama pamoja na kuwaepusha watoto kupata changamoto za afya ambazo zitawakabili katika maisha yao yote.
NB: Ili kufahamu kwa undani umuhimu wa kupima afya kwa kina kabla ya kuingia katika uhusiano au ndoa na ni magonjwa yapi wenza wanaweza kuepukana nayo fanya hivi.
Hakikisha una connect na access hii kisha una uta Subscribe to prinium channel link ipo kwenye Bio yangu hapo juu.
Swala la connections za vipimo tuachie sisi ukisha join utapatiwa huduma zote. KARIBU SANA.
#TANZANIA: Padre Charles Kitima ambaye ni Katibu Mkuu wa Baraza La Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC) amesema kuhudhuria halfa ya utiaji saini mkataba wa HGA na PDW iliyofanyika Ikulu Dodoma Octoba 22, 2023 haimaanishi kwamba wamekubaliana na mkataba wa Bandari kwani kulikuwa na mazingira ambayo yeye kama yeye asingeweza kujua nini hasa ameitiwa na asingeweza kuweka masharti kwa Rais baada ya kupewa mwaliko ambao yeye mwenyewe hakuwa anajua lengo lake.
"Hatujaona mabadiliko kimaandishi, tunasimama na tamko la Maaskofu, tukiona kimaandishi mabadiliko yaliyofanywa kwenye IGA ndipo tutaona kama mapungufu yamefanyiwa kazi"
Paulo, ulikuwa RC wa DSM kwa miaka 4. Wakati huo uliumiza watu wengi sana kwa KIBURI cha POWER.
Leo unataka kusema wewe ndie VICTIM na umetusamehe sisi?
😂😂😂
Hii ni classic DARVO.
Reversal of VICTIM na OFFENDER.
Maana sasa Paulo ni VICTIM!
Hapana Sir!
Uwe makini unamwamini nani
Huyo unayedhani ni malaika kumbe ni shetani
Acha mi niendelee kuwa timamu na kutoamini haraka watu 😃
Hata Shetani aliwahi kuwa malaika
#TembeaNjiaYako
Hii ndo CCM 🙄
Wako tayari kuua kubaki madarakani! Wanataka waibe kura na tusilalamike eti hapo ni “kuvuruga” uchaguzi
Bila #KatibaMpya hakuna uchaguzi!
In 2020 CCM threatening to kill anyone who tries to “interfere with elections” - translation “let us steal votes in peace”
Nilisema siku za nyuma kwamba Marais wa Kenya hawana ULIMBUKENI baada ya Rais Uhuru Kenyatta kutembea zake mtaani bila ULINZI wa kutosha
Hii ni Jana, Rais William Ruto alivyotembelea Jomo Kenyatta International Airport.
Rais wa 🇹🇿 hapa ilipaswa kuwa MIBUNDUKI lukuki.
Hali Ya Ngorongoro INATISHA
Polisi Wengi Sana Wamemwagwa Ngorongoro
Risasi Zinarindima
Amani Imetoweka
Watu Zaidi Ya 50 Wamekamatwa Na Hawajulikani Walipo
Wamasai Wanalala Maporini Kuhofia Maisha Yao
Jiulize Mpaka Mbunge Anasema Anawindwa Auliwe Wananchi Wana Hali Gani?
Shehe kafunga mjadala wa udini 😅
“Kama umepewa bahasha tafuta mahali kapumzike”
👊🏽💥 ka-boom!
Yaani suala la HAKI halina dini na ni wajibu wa viongozi WOTE wa dini kusimamia HAKI
Tushaelewana eh!?
Kama bado madhulmat msijali #TutaelewanaTu baadaye!