“Hatua tuliyofikia ya kumzuia binti wa kitanzania kutoendelea na masomo kwa sababu ya kupata ujauzito sio hatua nzuri kimjula. Kwa sababu mimba haiondoi haki ya mtu kupata elimu.”- Jamila Ahmadi #ArudiShule#ElimuBilaUbaguzi
#HABARI Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni wezi wa mifugo ktk Kijiji cha Busegwe wilayani Butiama Mkoani Mara, wamekumbwa na hali ya kula majani kama Ng'ombe, mara baada ya wanakijiji kushirikiana na familia iliyoibiwa Ng��ombe, kumuita mganga kutoka Kenya aliyefanya dawa hiyo.
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Burundi DSM kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais Burundi, Nkurunziza, Kikwete amefahamiana na Nkurunzinza kwa zaidi ya miaka 20 tangu wakati wa mazungumzo ya amani ya Burundi.
#MillardAyoUPDATES