NAOMBA REPOST YAKO TU
Location:Kariakoo mitaa ya Agrey/msimbaziiii
LINK HIYO https://t.co/3KAh74skJt
FREE DERIVERY NDAN YA DAR ES SALAAM NA MIKOAN NAKUTUMIA BILA SHIDAAA KWA GHARAMA NAFUU โค
โ๏ธ +255785003692
Kuna vitu vinatokea kutufundisha, Cheo, Utajiri, Uzuri, Umaarufu Si kitu na vina mwisho wake, ishi na watu vizuri, mtamgulize mungu wako kwa kila jambo acha majivuno, Mwenye masikio asikie mwenye macho aone Mungu atupe mwisho mwema.
Good morning hustlers ๐๐พ
Kama Unawasaidia Wazazi Wako Na Familia Kwa Kile Kidogo Ulichobarikiwa, Mifuko Yako Ibarikiwe Na Isikauke Kamwe ๐๐ผ ๐ท
Ikawe siku njema kwetu sote ๐
Leo hiyo kwenye kikao cha mawinga na wajasiriamali wadogo wadogo pale kariakoo,.. kulikuwa na soda na karanga,.. leo winga sijashinda kinyonge๐ค๐...
Okei nlitaka kusema hivi, Yupo Mungu aliye mkubwa kuliko matatizo yako , Just believe๐๐ฏ.
Mungu awasaidie sana vijana ukipata muda ongea nao uwasikilize wengi wana machungu moyoni kutokana na maisha kuwa magumu sana.
Wapo waliosoma sana wakiamini elimu zitawasaidia leo hii hawana kazi wamevurugwa.
Wapo waliojaribu kupambana na harakati zingine bado mambo yakawa magumu kwao wapo kama watengwa.
Ni wakati mgumu sana kwao Mungu awasaidie wasikate tu tamaa, Maana ukiruhusu hali ya kukata tamaa anguko lako ni kugusa tu.
Tuendelee kupambana na maisha ila uhalisia kwa ground ni kugumu sana ni game ya kufa na kupona๐คฒ