@DocFaustine Kwenye block chain technology hakuna trusted third part, serikali isahau mapato apo, pili block chain technology kwenye transactions Ina uwezo mdogo ukilinganisha ata na old fashion zetu, Only 4.6 per second wakati Visa card inauwezo wa kuhimili transactions 1700 per second,
@DocFaustine Block chain technology, kibongo bongo bado Sana itatugharimu Sana kuiendesha, kwanza tukubaliane technology yenyewe haijafikia maturity, Ina miaka 9 tu, iko na shida nyingi ukiandika kitu huez reverse, privacy za watu zitaanikwa Sana, hakutakuwa na trusted third part
@HKigwangalla Uwezo wako mdogo, kilimanjaro iliwaka moto kwa zaidi ya siku7 na we upo2 ati mnapandixha wanafunz mlimani, ata mtt wa la saba haez pandixh watu mliman tena sehem potential kama ile,
BET Awards: BET - Disqualify Diamond Platnumz from BET AWARDS 2021 (for Best International Act) - Sign the Petition! https://t.co/qFtAD0IWm0 via @Change