Saa hii sidhani kuna damage control yeyote inaweza rudisha trust tena. Anaweza afanye kila kitu, azunguke kila mahali na atumie resources zote, lakini bado akose kura. Ni kama kuspend pesa yote kwa msichana, mwisho akuambie, Wacha nimpigie boyfriend wangu aje anipick.