MWANAUME AMBAYE YUPO SIRIAZI. NA MAISHA
Zingatia haya
1. Tafuta Pesa
2. Usilazimishe Mahusiano.
3. Usitake mahusiano na mke wa mtu.
4. Usimrudie mwanamke aliekusaliti.
5. Mwanamke asiyekuheshimu huyo Hakupendi.
6. Ishi na mwanamke Mwenye Akili ...✍ ya moyoni
Leo nimeg’aa!
Upoaji haswa! Kila kona wananiita "HANDSOME"
Naelekea kwenye sherehe ya rafiki yangu Musukuma alienipa kadi ya mwaliko wiki mbili zilizopita, baada ya kufanikiwa kuachana na aliyekuwa mkewe mhaya.
Nishafika! Mandhari mwake, mziki🔥
TUTARUKA SANA USIKU WA LEO! 🕺
Sina uhakika kama naweza kuoa mitara, lakini sera yangu ya ajira kwa watoto wa kike (house girls) bado inapumuai!
Kuanzia umri 20, baada ya miaka 3-4 nitawabariki kuolewa na kutoa nafasi kwa mwingine mpya. 🙂
Kijana, ongeza tahadhari mitaani!
Tunawapakazia kila aina ya sifa mbaya wahudumu wa baani 🍸,
lakini mgahawani panasahaulika sana. Hata kwa elfu mbili tu unaloeka bila condom. 💔
INAITWA GUSA UNATE!
Kijana, ongeza tahadhari mitaani!
Tunawapakazia kila aina ya sifa mbaya wahudumu wa baani 🍸,
lakini mgahawani panasahaulika sana. Hata kwa elfu mbili tu unaloeka bila condom. 💔
INAITWA GUSA UNATE!
Sikuwa tayari kuonekana dhaifu. Ngoma sita usiku, akanipa maelekezo - sikupita getini, lakini nililala ndani ndugu zanguni. 💔😊
Sehemu ya tatu inakuja...
MWENDELEZO 2:
Umbali haukua tatizo, familia yake ilikuwa na uwezo. Aliponihitaji, alituma nauli.
Kila nilipomuuliza anapenda nini kwangu, alijibu:
-Ni mfano wa chama nikipendacho, nitakupigania kwa mali, subira na hekima.-
NAOMBA NIKURUDISHE NYUMA KWA KUMBUKUMBU NZURI. ❤️...
Usiku mnene, nipo kitandani. hisia zikanichukua ghafla, picha ya ex wangu ikanijia akilini.
Nikakumbuka semo zetu za mwisho tulipoagana kwa utani.
Yote ilianzia siku ile nilimsindikiza rafiki yangu akimtaka binti, lakini binti nje ya sinema akanambia:...
Kesho yake akanipigia akaniambia,
"Nyumbani nimebaki na watoto wadogo tu, nafasi hii tuitumie. Ukifunga ofisi nitafute nikulekeze."
Saa 3 pm nikamtafuta, akanipa location.
Bahati mbaya, mifumo iligoma kusomana😂.
Akasema: "Leo ni lazima, utarudi ulale hapa nyumbani...
MWENDELEZO 2:
Umbali haukua tatizo, familia yake ilikuwa na uwezo. Aliponihitaji, alituma nauli.
Kila nilipomuuliza anapenda nini kwangu, alijibu:
-Ni mfano wa chama nikipendacho, nitakupigania kwa mali, subira na hekima.-
NAOMBA NIKURUDISHE NYUMA KWA KUMBUKUMBU NZURI. ❤️...
Usiku mnene, nipo kitandani. hisia zikanichukua ghafla, picha ya ex wangu ikanijia akilini.
Nikakumbuka semo zetu za mwisho tulipoagana kwa utani.
Yote ilianzia siku ile nilimsindikiza rafiki yangu akimtaka binti, lakini binti nje ya sinema akanambia:...
"Wewe ndio chaguo langu."
Na hivyo ndivyo mahusiano yetu yalivyoanza. 😌
Ua la penzi letu likachanua, likakua na kuwa mfano kwa marafiki na jamaa.
Sikumpenda, lakini niliheshimu upendo na hisia zake kwangu.
Changamoto za maisha hazikuweza kuepukwa mara yupo chuo, umbali ule..
Ndoa haitaji mtu mwenye akili nyingi.
-Ukidhamiria kujiunga kwenye huo ulimwengu.
-akili nyingi hamishia kwenye kutafuta maarifa ya kunasa pesa.
Tofauti na hapo, ndoa huwezi dogo.
@MkulimaKante Nitumie 50k nikupe mhaya, kesho asubuhi mfunge ndoa ya mila kwa njia ya kidikitari. hata usipofika kaka, mimi nimwaminifu utatuma nauli nikutumie mkeo.