Unaambia watoto mwenye atapata 80% in a certain subject kuna 500 bob, unapea mtoto alafu unamuuliza atafanyia nini, anakusho ataenda abuy vitu za nyumba kama sabuni, unga and stuff, ukifuatilia unapata anaishi na shosho hana wazazi and they are just surviving. Life ๐