There's another fraud happening in most of our homes. Bibi anaingia chama na hana uwezo, inabidi mwanaume unamtolea kila mwezi. Akijua ni turn yake yaku pewa pesa za chama anaanza kisirani anaenda kwao ndio wamama wapeleke pesa kwao. Hii kenya wanawake huzaliwa na damu ya ruto.π