Gospel Artist | Teacher | Husband | Entrepreneur | CEO – @naonavyema & @lugano_kidsshop Brand |Entertainer | Inspirator ¦Serving God with All My gifts
Welcome🙏
Naitwa LUGANO EDOM 🎤 🎤 🎤
GOSPEL MUSIC MINISTER
NYIMBO ZANGU ZIPO YOUTUBE
KATIKA CHANEL YANGU
KARIBU UTAZAME AUDIO 🔉 NA UTAZAME VIDEO 📹
MUHIMU ZAIDI BONYEZA SUBSCRIBE
👇 👇 👇
https://t.co/q8DjZ87bER
BONYEZA RT Retweet moja Tu
Namwomba Mungu aniepushe na kiburi
..usiache kunijulia hali....jua tu maisha yangu ya leo sio hayo yajayo....Ahadi za Mungu zaja kwangu saa yeyote....Mungu hapangiwi wapendwa.Hata wewe usomae ujumbe huu Mungu anaenda kubadilisha maishaa yako je upo tayari?
Watu wengi wanajificha kujulikana kam wameokoka....yaani wanamkana Yesu hadharani.....Mjiandae na yeye atawakana Siku ya mwisho kwake....
Wachache Mmenielewq
....nisaidie kurepost kama umenielewa...
Kwa hiyo Mnasemaje Kuhusu WIMBO wa JITU na SIMBA .....UNIKUMBUKE...
JOEL LWAGA FT DIAMOND PLATNUMZ
.......GOSPEL FT BONGO FLEVA....
KIUFUPI MAMBO YANACHANGANYA SANA 😆🤣
Ukipata CHEO haina maana wewe ni Bora Kuliko Wengine bali ni hatima uliyo andikiwa kwa kipindi hiki uongoze Wengine.
*****HESHIMU WATU CHEO HUISHA JAMANI 😆************