@BabaD_Historian@millardayo Ambulance ni chache tukilinganisha na mahitaji. Mimi naunga mkono Hawa jamaa kuwa high high muda wote awe ana Mgonjwa au hana awe anafuata Mgonjwa au anarudisha gari kwenye Kituo chake baaada ya kumfikisha Mgonjwa, awe anatoka au anaenda kujaza mafuta...dharura are at anytime
@SuluhuSamia Hivyo kulazamikia kusubiri tuu usafiri na hawawezi kudai kurudishiwa nauli aliyolipa endapo atakua amechoka kusubiri. Mwendeshaji anakudanganya nauli na kuwaweka kusubiri usafiri na utaratibu wa Kila siku. Ahsante
@SuluhuSamia Au katika KIPINDI Cha mpito mwendeshaji wa haya mabus akodi mabus Kwa wamiliki wa hapa hapa Ili kujazia upungufu wake. Hizi njia amezishika na sisi wananchi wako hatuna options labda Kwa wenye vipato vya kuweza kumudu kukodi usafiri.
@SuluhuSamia Katika ULIMWEMGU huu ambao mobility ni crucial alafu mwananchi anakaa zaidi ya lisaa kusubiri usafiri Tena akiwa ameshalipa nauli inakwaza na kuzorotesha utendaji na uzalishaji
@SuluhuSamia Mh. Rais wetu. Hongera Kwa kazi nzuri. Mimi ni mkazi wa Mbezi Dar es Salaam na mtumiaji wa Mwendokasi Kila siku. Pendekezo langu ni kwamba wakati tunasuburi mwekezaji mpya, ruhusu mabus mengine kusafirisha wananchi Kwa wakati kusaidia uchache wa mabus ya mwendokasi
..challenging to international championship we really have to have strong and well coordinated local leagues.
Commercialising and make them pools out of which talents are discovered, nurtured and developed. Thus easily penetrate through the obvious quarter final in the world cup
@CAF_Online I appreciate what you are aiming at and the gradual improvements to our lovely African Football. I think there is much to be done to the way our local leagues are ran and coordinated. I believe that for African Football to be strong and..
@JaguarUK though I own an old 2004 jaguar X type but still I enjoy the Jaguar legacy. Good job team!. Between the Castrol 5w30 magnetic and Castrol Edge SAE 5w30 which one you recommend to use in the Jaguar X type 2.1 V6 of 2004. Thank you
@CHUX_TRUX I have been reading a number of comments and reviews on the impossibility of performance upgrades on Jaguar X type 2.1 V6 Petrol. I own two of these cats an I would love to upgrade one into a real road star. Can you guys do the job