@zittokabwe "Kuwataka" jaji mkuu na Biswalo wajiuzulu na huku huna power ni kama unapoteza muda. Kwanini usiwafungulie mashtaka ya kutumia mamlaka ya umma vibaya?
@zittokabwe Sasa kama wameweza kutumia teknolojia kujua idadi ya hizo kaya kwanini wasiongejiongeza kidogo tu kujua idadi ya watu kwenye hizo kaya? Zoezi lingekuwa rahisi tu