Na wanaume niliwaambia kuna vitu yako haifai kuonekana na mwanamke,sababu akikosea aone,she will never look at you the same. There is a reason our grandparents and ancestors strictly used to have sex at night,sio ati walikua wajinga,apana, they knew. Mwanamke akiona mkundu yako nakwambia heshima hukatikia hapo,that is the most vulnerable body part for a man. Anaanza kuona ukiwa brukenge. Unamwambia kitu anakumbuka mkundu yako aliona,anajiuliza hii kumbavu inasema nini sasa,eh?
Ndio maana mimi hii ndoa yangu imekawia namna hii. Bibi yangu miaka hii tano nimekua nikiswaga yeye,west pokot yangu hajai ona. Isipokua ni ile siku moja akiwa na mimba aliniamsha saa nane usiku kuniambia anaskia kuninusa huko nyuma,na asiponinusa atakufa,hakuna siku ingine. Juu mimi kitendo huwa namaliza namna hii napiga gear ya reverse mpaka bafu. Navalia unyaso yangu huko. Natokelezea sasa kama john cena
Kama nyumba haina bafu,nikimaliza kutandika yeye namna hii,kabla agundue nimemaliza,nishaaruka chini ya kitanda. Namwambia niangalie kinyasa yangu apo kwa mablanketi. Na kama kitanda pia ni ndogo sigwesi ingia chini,naingia ceiling kama salamander. Namwambia susan nipatilie boxer yangu. Ndio nateremka. We must guard ourselves men
Bwana some of these things you will never learn in unifasti.