Home
Language
English
TΓΌrkΓ§e
Bahasa Indonesia
About
Privacy Policy
Terms of Service
Pricing
Sign In
Download All
Share
Madaba
@Madaba34
Yanga sc
Joined October 2014
475
Following
1.2K
Followers
633
Posts
Madaba
@Madaba34
about 1 month ago
Oya Makolo Dudu baya aliwapa code mapema kwamba Mwaka huu tutawapiga Miiiiitiii ila mkachukualia Mlevi tu.. πππ
Madaba
@Madaba34
11 months ago
Ndoa ni Safari safiri na anaependa kusafiri na wew na si anaependa Safari
Madaba
@Madaba34
11 months ago
Katika maombi yako ya kuomba Majumba Magari, Mke mwema/Mume mwema Hakikisha Husahau kumuomba Mungu akupe Mwisho Mwema.
Madaba
@Madaba34
about 1 year ago
Huwezi kuifikia ndoto yako kwa siku moja, chukua hatua uwe kwenye mwendo kuelekea kwenye lile unalolitaka.
Who to follow
Baba Jack
@bigotz001
Fundi Mazaga zaga na Mshabiki wa Lunyasi π¦π¦π¦. HAKI kwanza πΉπΏπΉπΏπΉπΏ
Raul
@raul_saviola
Bobo
@EliahChuse
One for the π°
Madaba
@Madaba34
over 1 year ago
@FKihamu
Sawa mkuu kwahyo hapo unataka kusemaje
Madaba
@Madaba34
over 1 year ago
@Mkunga_Og
Andiko kubwa sana hili mzee
Madaba
@Madaba34
over 1 year ago
Mtu heshima yake inapanda au inashuka inategemea na anazungumza nini.. Ndio maana hekima kubwa hapa Duniani ni kukaa kimya
Madaba
@Madaba34
almost 2 years ago
@Rydx_017
@athanas_pius
@babalao__
@Balyx_
@DullahTheking2
@JayleenRickie
@MissChelsea1221
Kulaumu laumu kwa kila kitu nacho ni kilema pia
Madaba
@Madaba34
almost 2 years ago
Msaidie mtu kutokana na uwezo wa bajeti yako na sio kwa ukubwa wa shida zake
Madaba
@Madaba34
almost 2 years ago
Kwenye maisha ya kujitafuta usimkatae mtu, acha yeye akukatae wewe.
Madaba
@Madaba34
almost 2 years ago
Usipotambua umuhimu wa kurizika basi huwezi kujua madhara ya tamaa.
Madaba
@Madaba34
almost 2 years ago
Akili ambayo haikufunzwa kutafuta haiwezi kutunza mali ya urithi..
Madaba
@Madaba34
almost 2 years ago
Siku zote safari ikiwa ngumu wagumu ndio wanaoendelea na safari
Madaba
@Madaba34
almost 2 years ago
Kila mtu anamalengo yake kwahyo usimpangie mtu matumizi..
Madaba
@Madaba34
almost 2 years ago
@gallanemma
Pixellab
Madaba
@Madaba34
almost 2 years ago
Sio vizuri kujisifu lakini pia ni vibaya sana kujipuuza..
Madaba
@Madaba34
almost 2 years ago
Katika maisha huwa ni ngumu sana kufukia mazuri ya mtu, Ila ni rahisi sana kufukia mabaya ya mtu..
Madaba
@Madaba34
almost 2 years ago
Mbinu pekee ya kuishi na watu Dhaifu ni kuwapa ushindi tu katika maeneo ambayo wao hawawezi kushinda.
Madaba
@Madaba34
almost 2 years ago
Ukimpa Masikini Nyama iliyonona umwambie akawagawie masikini wenzie hakika hiyo nyama itamuoezea mkononi, kwasababu masikini hawana tabia ya kupendana..
Madaba
@Madaba34
almost 2 years ago
Unavyotamani kuheshimika basi na wewe Heshimu wengine.. πππ
Last Seen Users on Sotwe
θ£ε’
Seen from
Japan
Tilki HUB Kanal
Seen from
Turkey
ALANYAπSWΔ°NGERπ
Seen from
Turkey
Shoko Egawa
Seen from
Japan
ELAZIΔ Δ°TΔ°RAF VE ARAYIΕ
Seen from
Turkey
α΄΄α΅Κ³α΅ α΅ΚΈα΅π
Seen from
Germany
mister poules
Seen from
France
ΰΈΰΈΰΈΰΈ«ΰΈ΅ΰΉΰΈ‘ΰΉ
Seen from
Thailand
YASAK Δ°LΔ°ΕKΔ°LER KULΓBΓ
Seen from
Ukraine
RAJ ANJALI
Seen from
India
Trends for you
1
Good Monday
Under 10K tweets
2
#NINGNING
Under 10K tweets
3
Cowboys
Under 10K tweets
4
Victory Monday
Under 10K tweets
5
#MondayMotivation
Under 10K tweets
6
#μ§μ €_BYEB4HELLO_λμμ΄μ
Under 10K tweets
7
#LevisTH
Under 10K tweets
8
Gane
Under 10K tweets
9
#smno
Under 10K tweets
10
MASH
Under 10K tweets
Most Popular Users
1
Elon Musk
@elonmusk
241.7M followers
2
Barack Obama
@barackobama
119M followers
3
Cristiano Ronaldo
@cristiano
114.2M followers
4
Donald J. Trump
@realdonaldtrump
111.8M followers
5
Narendra Modi
@narendramodi
107.2M followers
6
Rihanna
@rihanna
98.7M followers
7
NASA
@nasa
92.4M followers
8
Justin Bieber
@justinbieber
91.8M followers
9
KATY PERRY
@katyperry
89.9M followers
10
Taylor Swift
@taylorswift13
83.8M followers
11
Lady Gaga
@ladygaga
75.3M followers
12
Virat Kohli
@imvkohli
73.2M followers
13
Kim Kardashian
@kimkardashian
70.8M followers
14
YouTube
@youtube
68.8M followers
15
Neymar Jr
@neymarjr
66.2M followers
16
Bill Gates
@billgates
65.1M followers
17
Selena Gomez
@selenagomez
63M followers
18
The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers
19
CNN
@cnn
61.8M followers
20
X
@x
60.7M followers
Olivia
Online
β¨
β
π«