JUMUIYA YA WANAWAKE WA CUF (JUKECUF)
WAGAWA BARAKOA KWA WANANCHI KTK SOKO LA MANZESHE,YOTE NI KUENDELEZA KUWAKUMBUSHA NA KUWAJALI WATANZANIA KUWA KUNA HAJA YA KUJIKINGA NA UGONJWA WA COVID 19(CORONA)
Wabunge Wa chama cha wananchi Cuf pichani wakionekana wakidiscuss jambo bungeni,kushoto ni Mh.Hamidu Bobali ambaye pia mwenyekit Wa vijana Cuf taifa(JUVICUF)akiwa na Mh Kiza mayeye (makamo mwenyekiti Wa jumuiya ya wanqwake Cuf taifa(JUKECUF))
#RESPECTKWAO
Dr kingwangalla,kwenye kashfa inayokukabili na haya majibizano unayoyaendeleza ,unataka kulihakikishia Taifa kuwa keel umepiga pesa,maana ungekuwa haujapiga mzigo yasingekutokq na kujibizana nq kila MTU,Mara kigogo Dada,Mara ulimkataaa,watanzania tunashindwa kukuelewa Mh waziri.