Usikose kutazama namna ambavyo products za Kitanzania zinavyotengenezwa: Kila J'tano saa 2:30 Usiku na Marudio J'pili saa 1:00 Jioni - Clouds TV
Gusa Link ππ
Kwenye MadeInTanzania wiki hii tutamulika simulizi za malkia wanguvu walioingia kwenye ulingo wa MadeInTanzania na namna walivyofanikiwa kuajiri watu wengi kwenye viwanda vyao.
Jumatano hii saa 2:30 usiku, kupitia @CloudsMediaLive#CloudsTV
Makampuni 49 ya Kitanzania yameidhinishwa na Mamlaka ya Forodha Nchini China ili kuuza Maharage ya Soya (Soya Beans) kutoka Tanzania kwenda Nchini China.
Uliwahi kufahamu kuwa Tanzania inashika nafasi ya kwanza katika Soko la Nazi Afrika?
Leo usiku katika #CloudsTV utaweza kuona #MalkiaWaNguvu aliyeona fursa na kutumia nafasi hiyo katika kutumia zao la nazi kutengeneza mafuta na bidhaa mbalimbali.
Usikose leo saa 2:30 Usiku.
#MadeinTanzania inapenda kutoa pongezi kwa Dkt. Philip Isdor Nzabayanga Mpango kwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. πΉπΏ
#MabilioneaConnection
Ndugu mzalishaji/mfanyabiashara ukihitaji usaidizi wa kibiashara kwa bidhaa tajwa kwenye nyaraka iliyowasilishwa tafadhali wasiliana na afisa kukupa usaidizi. Asante
Kila alipoona Bidhaa za Tanzania Uso wake ulipambwa na Tabasamu. Aliipenda kuweka kipaumbele katika bidhaa za Kitanzania, tutengeneze vya kwetu. πΉπΏ
#MadeInTanzania itaendelea kuwa shahidi wa Historia ya mapinduzi makubwa kwenye sekta ya viwanda katika bidii za Hayati @MagufuliJP
Wiki hii tunaendelea kusheherekea wiki ya wanawake wazalisha mali za viwanda vya Kitanzania πΉπΏ Wanawake mabilionea watarajiwa walionyesha;
- Nia ya kuendelea kuzalisha bidhaa zenye ubora
- Kuongeza ushirikiano
- Kupeana Ujuzi na
- kufungua njia za kiuchumi.
#IWD2021#TWCC
Tanzania ni Nchi iliyojaaliwa uoto unaochipusha mimea ambayo inaweza kutumika kama malighafi ya kutengenezea bidhaa mbalimbali.
Wanawake wa Tanzania wameamua kuingia ulingoni na kuhakikisha wanaipambania Jamhuri ya wapambanaji ili iweze kuzalisha bidhaa zake. πΉπΏ @CloudsMediaLive
Sekta na taasisi mbalimbali zinapoungana inaleta faida kubwa sana kwa viwanda na wananchi. Matokeo yake yanasaidia kukuza ajira, na mnyonyoro wa thamani katika sekta mbalimbali #Tanzania
Kama ulikosa madini haya ya Kitanzania usikose kutazama marudi leo Usiku saa 1:00 #cloudstv
Kaa karibu na Chombo kuna jambo linaenda kutokea, Leo ndani ya @CloudsTv itakapofika saa 01:00 Usiku.
Ni marudio ya show iliyojaa majibu ya changamoto unazokutana nazo kila siku. Hii ya leo sio ya kupotezea.
Tupo katika kipindi cha kutazama safari nzima ya Made in Tanzania katika kukamilisha Season 1. @gracevipodozi ni moja kati ya wadau ambao tulishirikiana nao na kutengeneza episode maalum iliyoonyesha soko na nafasi ya Vipodozi katika soko la Tanzania.
Msimu wa kukusanya maoni ya wafuatiliaji na wadau wote wa @MadeinTanzania umeanza rasmi leo.
Tunaamini yapo mengi ungetamani kuyaona ndani ya Season 2 kama daraja la kuzipandisha hadhi bidhaa zinazozalishwa hapa nchini.
Asante kwa kutuamini na kuendelea kuwa familia yetu. πΉπΏ
Simulizi ya kujiajiri ya Emmanuel mzalishaji wa bidhaa za Ngozi kama vile viatu, mikanda na inatufundisha mtaji sio pesa tu, Bali Uthubutu, Ujuzi, fikra Chanya na jitihada binafsi. Unaweza kuanza hata kwa kidogo ulichonacho na ukafanya jambo kwa ukubwa.