@shaffihdauda1 Nchi tunaiependa sana wananchi wa chini huku, tatizo viongozi wetu hawaipendi nchi ndo maana wanatumia gharama kubwa ili wapate madaraka. Mpaka kuteka watu, kuuwa watu na wengine kuwapoteza. Hii siyo sahihi kwenye taifa ambalo unalipenda. Kama mtu ana kosa? Vyombo husika vipo.
@Iamfelixtz Watanzania hizi timu zetu kubwa hazijatoa pole kwa mashabiki waliyopoteza maisha kipindi hiki, tuungane pamoja tusiende uwanjani tutaangalia kwenye TV