Haya bwana. ! Endeleeni tu na huu utoto mnaoufanya !.. hii ni namba ya MTN na siyo tigo kabisa..
Narudia!.. tafuteni mawakili wa maana siyo hawa amateurs..
@millardayo Waende Tendanguru wajue nini kinaendelea huko kwanza. Eneo limevamiwa na mijusi inachimbwa na wachimba vyoo. Unafuatilia aliyeko ujerumani unashindwa yaliyopo nyumbani aibu.
"Tumebaini kuwa alikuwa akitumia namba ya simu ambayo imesajiliwa kwa jina la mtu mwingine." Soma 👉👉https://t.co/VUddU2fJ5l #tanzania#idrissultan#bbcswahili 📸: Idris Sultan
WaBONGO wana mambo kweli.
Shangazi: Barakoa yako iwapi?Huogopi Corona?
Taxi Driver: Shangazi, nakula chipsi zilizokangwa kwenye mafuta ya TRANSFORMER, na bado nipo. Nakula mchuzi uliopikwa na nyanya za masalo, na viporo vya ferry na ninadunda. Corona iogope hapa IMEFIKA🤣🤣🤣
The Chinese government’s statement on racist treatment of Africans in the country because of coronavirus is objectively terrible. It’s a word salad that says nothing, offers no apologies and provides air cover for racist officials