Kipindi cha 1, Plan ya Aziz Ki na Farid Musa kucheza kama mawinga ilibuma. Timu ikosa kasi na Muunganiko hasa kwenye covering support. Sub za Moloko na Morrison zilitoa mtihani kwa mabeki wa pembeni wa Simba SC.
Moloko amenipa maswali mengine ya kujiuliza. Kuna kitu ameficha