Mapinduzi hayajaisha na hayawezi kuisha ikiwa bado jamii ina udhalimu na viongozi wanajikuta ni miungu watu ,maana lengo la Mapinduzi ni kuondoa utawala wa kidhalimu ,
Hivyo Wajamaa mapinduzi yaendelee tena na tena .
Heri ya siku ya mfano wa mapinduzi .
@IAMartin_ Neno Msamaha hata mbinguni linaheshimika sana.
Mtu akiomba msamaha anapaswa kusamehewa tena mbele ya hadhara anapaswa kusamehewa sana.
Historia ina sifa ya kuwakumbuka watu wake iko siku tu
@Nnauye_Nape Tumwombee kwa Mungu ampe hekima na busara kuyalinda maneno yake hayo ili siku moja yasije iuwq fimbo ya kumchapia yeye mwenyewe #ujamaa ni imani