LEO ALHAMISI FEB 15/2018 NDANI YA USHIKWAPO SHIKAMANA.
Kuna taarifa za kuwepo na uhusiano mbaya kati ya madereva wa vyombo vya moto na maofisa usalama barabarani.
je,ni nini hasa maoni yako katika mada hii.
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka katika Viunga vya Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam ikiwa ni Mkutano wa neno la Mungu ulioandaliwa na huduma ya New Life in Christ.
Mwalimu Christopher Mwakasege ndiye atakayefundisha neno la Mungu na Redio Maisha tuko LIVE.
Radio Maisha 100.1 FM ni zaidi ya kukutangazia. Tunakufikia ewe Msikilizaji wetu na kukupatia huduma ya Afya, Kupitia Madaktari na Manesi tunaoshirikiana nao. Asante Wakazi wa Mkoka-Dodoma.