Sikuwa na fare ya kuenda mtaani, which is 40bob
Nilikuwa tu na kumi kwa mpesa
The plan was to walk from thika town to kiganjo..
God said not my child 😩😩 sijui hao customers wametoka wapi but alhamdullilah
Wacha nikalie kidogo
Pale primary class 8 tushai ulizwa kila mtu anataka kua nn,mm kufiwa nikasema driver and I was always top 5.... nakwambia ile vita nilipigwa,walimu wote staffroom walinipiga just because of my very honesty opinion..ati nikona potential ya kuwa hadi pilot lakini mm ni joker😭😭😂