Ukiona hujapata mitihani katika maisha, ujue hujaanza maisha. Na ukiona hujapata majaribu, ujue wewe ni Rafiki wa shetani, maisha yanapokupa sababu 100 za kulia, yape sababu 1000 za kucheka usikate tamaa mitihani na majaribu ni ushindi.
@robbybling@Ernest_bigboy Kama ile CNN ( nge ft mwanza ) naona wadau wengi hamjasikiliza beat
Kwenye hii nyimbo si level ya huku africa na hapo ndio utasikia ile
talking beat aisee p huwezi liganisha na hawa watoto bhana Tena Kwa Maika ile ukipima na level za kazi zake inashangaza kuona mtu anampuuza
@robbybling@Ernest_bigboy P ndio producer pekee ambaye alikuwa anatengeneza talking beat na hakuna tena
Mtu mwingine anaweza fanya hilo mfano wa jambo nalo sema ni kama huu
1.nakupenda ( mnyalu ft nature ) kwenye nyimbo hii kuna wakati
Utasikia beat unasema maneno ambayo waimbaji walitakiwa kusema
@siadevinci Hata huko Lebanon wameuwa wanajeshi wao na wengine wametekwa hapo analipua akijaribu kutuliza hasira Za wananchi wake Ila ndio wanazidi kupalilia moto huyu bibi
@joel_beatus @msangijeff Israel Hufanya hivyo ilikutia hofu na uchungu zaidi Ila cha kushangaza hawa Jamaa hawakati tamaa na hawajawahi kurudi nyuma Miaka yote hiyo