Ushindi mkubwa wa kikatiba kuhusu haki ya faragha kati ya mawakili na wateja wao magerezani.
Leo tarehe 16 Oktoba 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania (Masijala Kuu ya Dodoma iliyoketi Dar es Salaam) imetoa uamuzi wa kihistoria katika Shauri la Kikatiba Na. 7300 la Mwaka 2026.
Shauri hili lilifunguliwa na Wakili Maduhu William na wenzake wawili baada ya kukumbana na vizingiti mbalimbali, ikiwemo mashauriano yao kusikilizwa na nyaraka zao kusomwa na maafisa wa magereza.
Jopo la Majaji watatu likiongozwa na Mhe. Jaji Mruma, Mhe. Jaji Dkt. Longopa na Mhe. Jaji Dkt. Rumisha limeamua kuwa kuwawekea mawakili vizingiti, kusikiliza mashauriano yao ya kisheria na wateja wao, pamoja na kusoma nyaraka zao ni kinyume cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mambo muhimu yaliyoamriwa na Mahakama Kuu:
Haki ya faragha kikamilifu: Askari magereza wanapaswa kukaa eneo wanaloweza kuona kwa usalama, lakini si kusikiliza mazungumzo ya mawakili na wateja wao.
Ukaguzi wa nyaraka: Maafisa wa magereza wanaweza kukagua nyaraka alizonazo wakili kwa sababu za kiusalama, lakini ni marufuku kuzisoma au kuzichambua.
Amri ya siku 60: Kamishna Jenerali wa Magereza amepewa siku 60 kutoa waraka kwa wakuu wote wa magereza nchini, kusimamia utekelezwaji wa Kanuni ya 13 ya Magereza inayolinda faragha hii.
Usawa katika utoaji haki: Maafisa wa magereza wanatakiwa kuwahudumia mawakili wa Serikali na wa kujitegemea kwa usawa na haki.
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) tunawapongeza mawakili waliofungua shauri hili kwa kusimamia misingi ya utawala wa sheria.
Huu ni ushindi mkubwa katika kulinda haki ya kupata uwakilishi wa kisheria wenye haki na faragha, msingi muhimu wa Fair Trial.
#LHRC #HumanRightsTanzania #Fairtrial
One of the most powerful parts of our conversation with the Royal Norwegian Embassy was about women, gender equality and development.
Mr. Sondre Bjotveit, Norway’s Head of Cooperation, shared a lesson from Norway’s own experience: while the country’s natural resources are often highlighted when we talk about its prosperity, bringing women into the workforce and creating greater gender balance has also been an important part of its economic success.
The message was simple:
Gender equality is not only the right thing to do. It is also smart economics.
At LHRC, our work with women goes beyond responding to violations. We work in communities to strengthen knowledge of rights, create peer-support groups, build confidence, address gender inequality and violence, and connect women with economic and skills-development opportunities.
We also spoke openly about the reality of human rights work today.
Civic space is shrinking, while more people are turning to us for help. This places enormous pressure on organisations working to protect rights and the people on the frontline of that work.
Behind every case is a person trying to be heard.
That is why partnerships matter.
Because lasting change needs communities that know their rights, institutions that uphold them, and people willing to stand up and defend them.
#LHRC #GenderEquality #WomenEmpowerment #HumanRights #CivicSpace #Tanzania #Norway #HumanRightsDefenders
"Usalama wa taifa haujengwi kwa hisia, bali kwa ushahidi, haki na utawala wa sheria. Tukikosa misingi hiyo, tunaweza kuimarisha malalamiko badala ya kuyatatua.”
Sheikh Ponda Issa Ponda
#DemokrasiaYetu@Twaweza_NiSisi
Kuna taarifa nyingi sana kuhusiana na afya ya uzazi , Taarifa nyingi zaidi kuhusiana na mpango wa uzazi na nyingi zaidi kuhusiana na mimba na huduma baada ya mimba kuharibika . Taarifa sahihi (evidence based ) ndio vijana wanataka . Je hizi zinapatikana wapi ?
@GIVENALITY There has been a similar innovation also an AI powered chatbot "Dada Wakili" from Dr. Sarah Stephens, it has aim of aiding women in legal issues with an emphasis on inheritance matters to commence with
When funding shifts, it’s not just numbers: it’s the programs and real girls affected.
During the aid cuts, STAWI Lab has provided flexible funding, strengthened systems, and supported shared learning so women-led orgs can keep going.
#miakwavijana#stawilab
@herinitiave
Ufadhili ulipopungua taasisi Iliana kushindana.Lakini #STAWILAB imeonyesha kitu tofauti. ofisi za pamoja Zana za pamoja , Nafasi za pamoja. kushirikiana ili kilichopatikana kitumike kwa manufaa ya wengi
#MiaKwaVijana#StawiLab@herinitiative
Kongamano lilikuwa 🔥🔥🔥. wanawake wa manispaa ya ubungo waliondoka na ujuzi na nyenzo za kuweka biashara zao kwenye mitandao na namna ya kuuza Zaidi.
Asante sana @TechWomenTZ kwa fursa ya kuwa msema chochote . Digitali kwa Maendeleo
Wakuu nisaidie kuretweet
Baby sound book zimerudi kwa 30,000 ziko kwa sale sasa … Mpatie mtoto wako uhuru wa kujifunza . Atajifunza Alphabets , Numbers , animals , Vehicles, Atapata stories na nursery rhymes .
0782388366
In 2021,youth led groups championing women’s and girls’ rights filled panels and donor rooms but were missing when resources were shared.
Visibility without funding is not support.
STAWI Network is breaking that silence.
Find out
#MiaKwaVijana#StawiLab@herinitiative
Mtoto wa kike akiumizwa, taifa zima hujeruhiwa.
Lakini akilindwa, taifa hupona.
Changia ujenzi wa #MsichanaCentre uweke msingi wa kizazi salama.
Kuwa sehemu ya simulizi hii ya mabadiliko:
+255 754 251 022 ~ Msichana Initiative
#NdotoYaMsichana@MsichanaUwezo
Stawi lab ilizaliwa kutokana na experience za Mkurugenzi wa @herinitiative dada @Lydiacharles_ kwani alichoka kuona anaendesha taasisi kwa nguvu kazi ya kujitolea (wafanyakazi wengi walikua volunteers ) akaandika barua ya wazi kwa development partners 1/2 #MiakwaVijana#Stawilab