Hello guys.. anyone who knows namna ya kununua tickets za kuangalizia mechi kwa mkapa kupitia mitandao ya simu naomba anifahamishe.
Thanks
@shaffihdauda1@AliKamwe@George_Ambangil
Dear Ladies.. tutumie vizur muda wao kipind hiki hawa viumbe.. Mamipira yao yakishaanza hawawezekani hawa.. Mara EPL huku UEFA Mara NBC PL kutahamaki WORLD CUP hii hapa.. wanajifanya hawana muda π π π
@George_Ambangil @gift_macha @Shaffih_dauda