Cha muhimu ni BISMARCK ROCK. LIrudishwe kama lilivyokua. Picha zipo. Swala la meli tulishasema ni za kuungaunga na zitaleta majanga, kuna ile ya Kidgoma mmeungaunga piya. Kamati ishughulike na JIWE TU.
@Jaguar_455 Hizi kauli Mr Majaliwa alitembea nazo sana tu. Msichojua hawa wanatoleana kauli ngumu hadharani lakni wakiingia kwa maofisi huko wanakumbatiana kwa igizo zuri. Ndo namna wanavyolindana maana hao walio juu POSHO yao inatoka kwa hawa waliochini. Hapa tunazugwa sisi.
We need to help Tanzanians. Only 90,000 of them can access X via VPN because the platform is strictly restricted. Many have no idea what happens beyond singing heroic songs for mama. The reason am saying this, a Tanzanian activist and a critique of Mama Samia Suluhu Hassan, Twaha Mwaipaya, was abducted in Kenya more than 10 days ago. He is still being held in Kenya at an unknown place on orders of Samia Suluhu. He was abducted, we made some noise, and forgot about it. Tanzanians won't do it because 90% of them are not even aware. We need to make some noise and have them release Twaha and have him go home to his family. He ran to Kenya to seek refuge, the same place he thought was a safe haven betrayed him. #FreeTwahaMwaipaya
@comanchechiefIV@XtrailBwh@itsdylanke Agreed kabisa lakini wengi bado tunaagiza magari ya miaka ya 1990s ambayo mafundi wetu wanayamudu ingawa kwa haya ya kisasa NO hawayawezi na ukipeleka wakutengezee tatizo fulani basi tegemea kuongezewa tatizo.
New Price๐จ
iPhone 18 Pro
256Gb-3,500,000
512Gb-4,200,000
1TB-5,500,000
iPhone 18 Pro Max
256Gb-3,950,000
512Gb-4,700,000
1TB-6,200,000
All colors available
E-sim only
Non-Active with 1yr warranty
โ๏ธ0652795468
@black_gifted13@Makaveli_255 Nakupa siri moja why si kesi ngumu. Kwanza kumbuka hao jamaa wanapenda pesa. Unachotakiwa ni kuomba samahani na tia neno kwamba naomba tuyamalize..hapohapo wanakujibu una shilingi ngapi. Kama utakuwa na pesa basi swala limeisha ila ukikaza ndo mnafika huko jela sbb court yao.