.@SuluhuSamia@ccm_tanzania@jmkikwete
Kila siku naongea hapa kuwa mkiendelea na huu ushenzi wenu kitaibuka kikundi chenye silaha Tanzania na kila mtu atatafuta pa kukimbilia ila bado mnaendelea kujifanya nyinyi ndio wamiliki wa Tanzania na sisi wengine ni Mbwa wenu wa kuwanyanyasa, kuwaua, kuwabambikia makesi, kuwateka, kuwanyima haki ya uchaguzi huru na wa haki etc.
Imagine jeshi la Iran lilivyo na nguvu ila bado kimeibuka kikundi ndani ya nchi kimepata silaha na kinapambana na majeshi ya serikali, sasa imagine jeshi la TZ lilivyo legea hata silaha kamili hawaruhusiwi kuwa nazo kambini, si itakuwa balaa zaidi ya Congo?
Watanzania nawaambia tena tuungane wote tudai haki kwenye nchi yetu la sivyo, hiki kitu kinachofanyika Iran, kitakuja TZ………
Kiongozi wetu na Mwenyekiti wetu alikamatwa akiwa mzima,
Taarifa Kama hizi za kuhusu kujaribu kucheza na maisha yake hazitakubalika.
Serikali hii dhalimu inapaswa kumuachia Lissu haraka.
Sisi Tunafuatilia kila kitu na hakuna taarifa hata moja tunaipuuza.
#freetundulissunow
Upambe umekuwa ugonjwa mkubwa unao haribu mazingira ya akili kuliko tatizo la athari za mabadiliko ya tabia Nchi.Kama tatizo la nguvu za kiume lingetazamwa ktk msingi wa maarifa. na sio kitandani basi tatizo la nguvu za kiume ni kubwa sana Nchini.
Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha Baba Mtakatifu Mstaafu Benedict XVI, ambaye alijitoa maisha yake kutumikia wengine. Natuma salamu za pole kwa Baba Mtakatifu Francisko, waumini wa Kanisa Katoliki Tanzania na Duniani kote. Mungu ailaze roho yake mahali pema Peponi. Amina.