Kesi ya Uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu imepangwa kuendelea katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam tarehe 09 Februari 2026.
Zimebaki siku nne tu— tujitokeze kwa wingi kupata darasa la sheria kutoka kwa Mhe. Lissu.
#FreeLissu
Kesi ya Uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu imepangwa kuendelea katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam tarehe 09 Februari 2026.
Zimebaki siku tano tu— tujitokeze kwa wingi kupata darasa la sheria kutoka kwa Mhe. Lissu.
#FreeTunduLissu
Bado siku nne.
Kesi ya uongo na ya kumbambikiza ya Mhe Lissu itaanza kusikilizwa.
Waliochukua Madaraka kwa nguvu na kwa damu wana hofu sana na uwepo wake uraiani. Hawataki kumuachia, tupaze sauti kwa nguvu tupinge hali hii ya uonevu na kutawala kwa mabavu..
#FreeLissu
Wasiione WAKENYA hii.
Imagine hawa ndio wanatakiwa kujadili mikataba yakina DP WORLD. jitu hata kujieleza dakika 1 haliwezi.
Kama taifa tupo kwenye nyakati ngumu sana.
Leo katika #MariaSpaces tunajadili: Ukweli, Haki, Uwajibikaji tunazipataje 2026?
Ukweli ni msingi wa Haki na bila Uwajibikaji wa walioua,teka na kuumiza wananchi hakuna Haki na bila Haki hakuna Amani wala maridhiano!
Je mwaka huu tunahakikishaje kama Taifa tunapata zote?
#BBC
"Mara ya kwanza nilipoiona picha ya Mafwele nilitetemeka, ni kama ilinirudisha kwenye siku za mateso". Edson Mwakalebela (SATIVA), Mwanaharakati Tanzania.
"Mafwele alipoanza kunipiga kituoni kwa kushirikiana na askari wengine alisema ananifahamu, Mafwele alisema atanitahiri, nilipomwambia nimetahiriwa aliniambia atanitahiri tena, hata kuiona picha yake kunanitetemesha". Boniface Mwangi, Mwanaharakati wa Kenya.
Wanaharakati wa Kenya na Tanzania wakielezea mateso waliyopitia chini ya amri ya mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai Kanda Maalum ya Dar es Salaam afande FAUSTINE MAFWELE.
::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::
"The first time I saw Mafwele's picture I trembled, it was like it took me back to the days of torture". Edson Mwakalebela (SATIVA), Tanzanian Activist.
"When Mafwele started beating me at the station in collaboration with other soldiers, he said he knew me, Mafwele said he would circumcise me, when I told him I was circumcised he told me he would circumcise me again, even seeing his picture makes me tremble". Boniface Mwangi, Kenyan Activist.
Kenyan and Tanzanian activists describe the torture they went through under the command of the head of the Special Crimes Investigation Unit of the Dar es Salaam Special Zone by FAUSTINE MAFWELE.
Kwa Mujibu wa Ibara ya 67 (1) (a) ya Katiba ya Tanzania ya Mwaka 1977 kigezo ni Mbunge ajue kusoma na kuandika kiswahili au kiingereza! Mnategemea nini kutoka kwa hao waliogawana viti? Watu wamepiga sandakalawe ubunge!! 😂😂
Nyie chihuahua mmegonga mwamba mnajitekenya na kucheka!
Walioua maelfu ya watanganyika ni MAFWELE na genge lake na Abdul na janjaweed yao
Yaani ICC hamtakwepa na kimama chenu!
Na mnavyozidi kutushambulia mnatuimarisha - tusisikie milio baadaye maana hii ni rasharasha - mvua kubwa inakuja
#TanzaniaMassacre #TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Serikali haramu ya Tanzania imefungia Youtube Channel zote za BBC zilizorusha video ya kiuchunguzi iliyofanywa na BBC Africa Eye na hazitaweza kuonekana tena Tanzania bila kutumia VPN.
:::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::
The illegal Tanzanian government has blocked all BBC YouTube channels that aired an investigative video made by BBC Africa Eye and they will no longer be viewable in Tanzania without using a VPN.
Kesi ya Uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu imepangwa kuendelea katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam tarehe 09 Februari 2026.
Zimebaki siku nne tu— tujitokeze kwa wingi kupata darasa la sheria kutoka kwa Mhe. Lissu.
#FreeLissu
Tumefika mkoani Songwe Vwawa central polis pamoja na ofisi ya Rco majibu yao ni kuwa kiongozi wetu Award Karonga hayupo central na hata Rco hana taarifa yake.
Tunalitaka jeshi la polisi Mbeya na Songwe kueleza wapi alipo ndugu yetu kuliko mkanganyiko huu.
Na @hamadimbeyale
Hii Documentary ya BBC inawatesa sana watawala haramu. Kama haujaisikiliza Bonyeza link hapo ili ujue Watawala Haramu wanavyowatesa watanzania wenzetu!
https://t.co/vrepw7e39G
Repost video hii Kama uko Tayari kwa update za Kesi ya Mhe @TunduALissu Tarehe 09/2/2026. Vilevile Kama unamatumani katika Mapambano ya Haki Repost video hii! Kama wewe ni CHADEMA Like na Repost video hii. Kama unaniunga Mkono Naomba follow @ShijaShibeshi.
#BBC
"Mara ya kwanza nilipoiona picha ya Mafwele nilitetemeka, ni kama ilinirudisha kwenye siku za mateso". Edson Mwakalebela (SATIVA), Mwanaharakati Tanzania.
"Mafwele alipoanza kunipiga kituoni kwa kushirikiana na askari wengine alisema ananifahamu, Mafwele alisema atanitahiri, nilipomwambia nimetahiriwa aliniambia atanitahiri tena, hata kuiona picha yake kunanitetemesha". Boniface Mwangi, Mwanaharakati wa Kenya.
Wanaharakati wa Kenya na Tanzania wakielezea mateso waliyopitia chini ya amri ya mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai Kanda Maalum ya Dar es Salaam afande FAUSTINE MAFWELE.
::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::
"The first time I saw Mafwele's picture I trembled, it was like it took me back to the days of torture". Edson Mwakalebela (SATIVA), Tanzanian Activist.
"When Mafwele started beating me at the station in collaboration with other soldiers, he said he knew me, Mafwele said he would circumcise me, when I told him I was circumcised he told me he would circumcise me again, even seeing his picture makes me tremble". Boniface Mwangi, Kenyan Activist.
Kenyan and Tanzanian activists describe the torture they went through under the command of the head of the Special Crimes Investigation Unit of the Dar es Salaam Special Zone by FAUSTINE MAFWELE.
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵😎
‼️🚨 SULUHU AND HER MURDEROUS CABAL BLOCK BBC YOUTUBE DOCUMENTARY URL IN #Tanzania‼️
Following the @BBCAfrica BBCEye investigative piece on #EnforcedDisappearances - the documentary URL both English and Swahili versions - have been blocked officially! It can only be viewed with a VPN 🙄
Nothing new! @X has been blocked for two years now only @Meta is available because it collaborates with them 🚮
Sasa mbona VPN tumeshazoea kutumia? Eniwei tutatumia META accounts kuisambaza iwafikie hadi vijijini
Na bado kuna documentary zingine ziko njiani mjipange!
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Siku ya leo amezaliwa dada na rafiki yangu wa muda mrefu @PamelaMaassay amekuwa rafiki wa dhati wa muda mrefu. Ninahistoria naye ndefu kwenye hii struggle, ipo siku nitatoa simulizi la harakati na upendo wake. Kwa leo itoshe kusema ninamuombea dua aishi miaka mingi yenye baraka na heri. Happy Birthday.
@MariaSTsehai Wamerogwaa Niniiiii,
Tunaanzajee Kusahau hiii KAFARA YA KISHETANI hiviii.. 🥺😡
Wakatii Walioua Bado wanatamba Kitaaaa.
Yaani hii haiiishiii Mpaka Wahusika WOTEE WATAKAPOFUKIWA CHINI..Kuanzia Aliyetoa ORDER ya SHOT TO KILLL Mpaka Aliye trigger kwa kuLenga Shabaha ya KISOGONI.😡