"Take care, usipime, ni wazi utapotea/
Ndani ya kina kirefu huwezi kuogelea/
Tuache wanamaji ambao tumebobea/
Baki nchi kavu ambako umezoea/"
@Mansu_Li
📻👂SINA GARI by @Mansu_Li ft @chemicalTz ni Bonge moja ya joint. Lile beat kuna namna @duppy kalinyonga kuna li baseline flani linanguruma kama linaimba flani hivi afu muhuni katulia kwny narration na sauti flan yenye mamlaka 🎶🎵🔥🔥
ALBUMS ARE BEING DISRESPECTED
Category ya Album Bora (LP), ukiondoa album ya Navy Kenzo, zote zingine zilikuwa ni EP.
Ukiondoa baadhi ya EPs ambazo huwa zina muendelezo (mfano FLOWERS SERIES ya Rayvanny), EPS nyingi huwa ni a bunch of singles zimekusanywa na kutolewa kwa wakati mmoja. (zote zina potential ya kuwa marketed individually, and pushed as radio songs, zina featuring za big artists, etc). Na ni fupi (hazizidi 8 songs)
ILA ALBUMS ni kitu kikubwa; kwanza zinakuwaga na Concepts, Content, Context, Cohesiveness, Continuity, Collaborative Effort, etc. Hapa ndio unaweza kupima uwezo na ubunifu wa Mtu kimuziki. Unapima kiwango cha utayarishaji (production) na Uandishi (songwriting).
Sasa kuna albums za high quality hazijawa nominated, badala yake kuna EPs (ambazo they are not it really albums).
What does it say about us kuthamini muziki? Kweli tutaweza kupata Classic albums au hata just good quality ikiwa jitihada haziwi noticed. Album ya Love Letter (Jide & Ramadee) uandishi mzuri, production nzuri, ila pia imagine mmoja yupo Australia, mwingine Dar na wameikamilisha. Concept album ya MansuLi (Love Album), Katiba Mpya ya Nikki Mbishi… How about purity ya “Heir To The Throne” (Tommy Flavour)
Sasa kitakachotokea, Wasanii wataacha kutengeneza Albums, watachukua tu 4-5 singles na kuziita EP na kuziingiza kwenye kinyang’anyiro cha Album. That is the precedent we are setting.
SUGGESTION: Category ya Album iwe na Albums tu, na maybe Mixtapes (zenye 10 songs or more). EP ziwe kigezo cha kum-consider mtu as Msanii Bore wa Mwaka sio sehemu ya Album… ili HESHIMA YA ALBUM IBAKIE
Husisheni watu ambao wanafanyaga Album reviews… maana Wanasikiliza. Muziki
Pia tutumie Taaluma na vigezo vyote ku-judge, na sio tu kisa project ina views/downloads na ili trend. Kumbuka kuna Wasanii hawaweki projects zao Digital platforms so hizo criteria hawakidhi.
@MwanaFA@SevenMosha@TashStam@simulizinasauti@millardayo@WizaraSanaa@NdumbaroDamas@BasataTanzania@mapana_kedmon
"MY LIFE" ipi ni kalii kati ya hizi? 😂👇🏽
👉🏽MansuLi~My Life
👉🏽Marioo~My Life
👉🏽MoniCentrozone~My life
👉🏽QuickRocka~My Life
👉🏽Janjaro~My Life
👉🏽Darassa~My Life
Eti wanangu??😎