Nisipopambana Kubadilisha Maisha Yangu Hakuna Atakayepambana Kwa Niaba Yangu.
Jiambie Haya Maneno kila Unapoenda Katika Shughuli zako za Uchumi......!!!
Tumefika Hapa Kwa Ajili Mungu Alipenda Tuzaliwe Kwenye Matumbo Ya Mama Zetu sisi,Wale Ambao wao Wanawaona ni Maskini Wanaopata Ridhiki Zao Kwa Kuzunguka Juani.
Lakini Mungu Aliamua Kupitia Matumbo Yao Tutazaliwa Sisi,Na Tutaishi Sisi,Na Tutafanikiwa Sisi Bila Kuwapo kwetu Sisi.๐ค
Usisahau Kuwa Waliomakaburini na Wao Walikuwa Wazima Kama Wewe,
Usisahau Pia Waliolalia Vitanda na wamepoteza Fahamu na Kuugulia maumivu makali na wao walikuwa Wazima Kama wewe.
Umefanikiwa Kuiona Jana Yako,Lkn Ujui Matokeo ya Leo Yako.
Kesho Yako bado ni Fumbo Kwako.๐
Ukiondoa Kifo,Kitu Kingine kinachoweza kukutenga na Wale Uwapendao ni Umaskini.
Umaskini ni kama Kifo ni Adui wa kila Mtu.
Kuna Umaskini wa Fikra na Umaskini wa Kipato.
Umaskini ni Zao la Lahana.
Anayekwambia Atakuwa karibu na Wewe pamoja na Umaskini wako anakudumaza Akufai.!๐ค
Maisha ya Wazazi Wetu Yangekuwa Bora Tusingeondoka Nyumbani.
Ni Zile Shida,Taabu na Kiu ya kubadilisha Hali ya Maisha Ndio Vimetutoa huko,
Tuliapa Hatutorudi Mpaka Tupate.
Tuliapa Kuumia hili Vizazi Vijavyo Vije Vikute Historia Ya Umaskini Majumbani Kwetu.
Mungu Tusaidie..!๐๐
Mtu Pekee Anayependa na kutamani ufanikiwe kumzidi ni Mzazi Wako Pekee,
Na Mtu Pekee pia Anayetamani Ufanikiwe hata kama usipomsaidia ni Mzazi Wako Pekee.
Hawa Wengine Waliobaki Duh....!!๐
Tulishawahi Kuwa Msaada Mkubwa Sn Kwenye Maisha yao,Mungu Alipitia Kwetu Kutatua Changamoto za Maisha Yao.
Lakini Walipoinuka badala ya Kutafuta Jinsi Watakavyozidi kubaki Kileleni.
Wakawa wakwanza kutafuta Silaha Zitakazotushusha Chini.
Kuwasamehee na kuwasahau ni Jambo lingine.
Maji Yanauwezo wa Kufanya Uchafu Ukaitwa Usafi,
Lakini Kauli na Maneno Machafu Huwa Yanadumu vizazi Na Vizazi,
Maneno Huwa ni Silaha inayoweza Kukuangamiza au Kukufanya Ushinde Vita Zako.
#EnemyOfHumanity