Mimi Suma Mwaitenda โMwananchiโ; Kwa Utashi wangu na Dhamira yangu nimeamua kugombea nafasi ya Makamu wa Rais wa Klabu yetu ya Yanga. Uwezo, Weledi, Uzoefu na Moyo wa kutumikia klabu yangu vimenisukuma kuomba ridhaa ya kuwa Sauti ya Wananchi.
#SautiyaWananchi#MpiraniMaendeleo