@Maichagange Ngozi nyeusi always ni wachoyo, hatupendani ndo mana hatuna umoja kwenye familia zetu
Unakuta mtu Tajiri na ndugu zake wanateseka tofauti na wenzetu hao. Ata ukiwa huna kazi utashinda nyumbani utakula utaenjoy . Huku michongo unatafutiwa maana